big result now
Senior Member
- Sep 8, 2013
- 107
- 70
lkiwa wamebakiza mechi nne tu,mbili za ligi na wanatakiwa washinde moja ili wawe mabingwa wa la liga,moja na atletico club fainal ya kombe la mfalme na hii ya tarehe sita mwez ujao fainali ya uefa.
Mawazo yangu japokuwa juve wana timu nzur ila nauona ugumu wa wao kumfunga barca pale berlin,la liga watatabeba pamoja na kombe la mfalme.
mess ana magoli 10 ya UCL,40 ya la liga na assist za kutosha,na pia ndo mtu anayeichezesha barca,nadhan mpaka sasa ballon d'or kimahesabu ni yake.