Messi na Ronaldo kupitia nchi zao, hatarini kufuzu Kombe la Dunia 2018; Je, bila wao michuano hiyo itanoga?

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2012
Posts
2,046
Reaction score
3,971
Nahodha Lionel Messi ana kazi ngumu kuivusha Argentina katika fainali hizo katika mchezo wa mwisho dhidi ya Ecuador itakapokuwa ugenini mjini Quito.

Endapo Argentina itashindwa kukata tiketi, itakuwa ya kwanza kutokushiriki fainali hizo tangu mwaka 1970.

Brazil tayari imekata tiketi na katika kundi lake inafuatiwa na Uruguay (pointi 28), Chile (26), Colombia (26), Peru (25), Argentina (25) na Paraguay (24).

Argentina wanashikilia nafasi ya sita katika msimamo wa kufuzu kwa Kombe la Dunia katika Amerika Kusini kukiwa na mechi moja ambayo imesalia kuchezwa.

Nchi zinazomaliza nne za kwanza ndizo hufuzu moja kwa moja

Atakayemaliza wa tano atacheza dhidi ya New Zealand na mshindi afuzu.

Wakati huo huo
Mabingwa wa Ulaya, Ureno wanatakiwa kushinda katika mchezo wao na Uswisi na jukumu kubwa lipo kwa nahodha Cristiano Ronaldo.

Ureno inahaha kukata tiketi kucheza fainali hizo ikiwa nafasi ya pili kwa pointi 24 nyuma ya Uswisi yenye pointi 27.

Endepa Ureno itashindwa kushinda mechi hiyo na kumaliza nafasi ya pili itasubiri kuchagulia katika timu nane bora zilizomaliza nafasi ya pili kwenye makundi na kucheza mechi mbili (play-off) za nyumbani na ugenini na mshindi kufuzu kucheza michuano hiyo ya kombe la dunia
 
Nahodha Lionel Messi ana kazi ngumu kuivusha Argentina katika fainali hizo katika mchezo wa mwisho dhidi ya Ecuador itakapokuwa ugenini mjini Quito.

Endapo Argentina itashindwa kukata tiketi, itakuwa ya kwanza kutokushiriki fainali hizo tangu mwaka 1970.

Brazil tayari imekata tiketi na katika kundi lake inafuatiwa na Uruguay (pointi 28), Chile (26), Colombia (26), Peru (25), Argentina (25) na Paraguay (24).

Argentina wanashikilia nafasi ya sita katika msimamo wa kufuzu kwa Kombe la Dunia katika Amerika Kusini kukiwa na mechi moja ambayo imesalia kuchezwa.

Nchi zinazomaliza nne za kwanza ndizo hufuzu moja kwa moja

Atakayemaliza wa tano atacheza dhidi ya New Zealand na mshindi afuzu.

Wakati huo huo Mabingwa wa Ulaya, Ureno wanatakiwa kushinda katika mchezo wao na Uswisi na jukumu kubwa lipo kwa nahodha Cristiano Ronaldo.

Ureno inahaha kukata tiketi kucheza fainali hizo ikiwa nafasi ya pili kwa pointi 24 nyuma ya Uswisi yenye pointi 27.

Endepa Ureno itashindwa kushinda mechi hiyo na kumaliza nafasi ya pili itasubiri kuchagulia katika timu nane bora zilizomaliza nafasi ya pili kwenye makundi na kucheza mechi mbili (play-off) za nyumbani na ugenini na mshindi kufuzu kucheza michuano hiyo ya kombe la dunia
Tena mi naombea Timu zao zishindwe...tumeshawachokaaaa tunataka damu mpyaaaa
vipaji vipyaaaa washindwe tuuu...kila siku Messi Ronaldo...wakati sasa hivi woote hakuna kitu....tunataka kuona damu mpya kina james rodriguez,Nigeria,France na timu tuu nyingine zisizo na majina zikitoa wachezaji wazuri
 
Hizo damu mpya hazina jipya kwa sasa,utawachoka vipi wakati hawajapata mbadala?
 
Messi ndo anaweza kukosa sio Ronaldo ktk mechi kama hiyo na Uswisi inazungumzwa kama mechi ngumu lkn kwa Ronaldo hiyo si mechi ngumu kwake bali anaiwazia kama mechi muhimu ndo utakutaga anapiga hatrick Ureno yote mabegani kama KingKong
 
Tofauti ya ureno na uswiswi ni kwamba ureno ilipoteza mchezo wao walipokuwa uswiswi....na wameshindwa michezo mengine.
So far uswiswi kashinda michezo yake yote 9.
 
Tena Portugal ndio itabidi wasake magoli wakati uswiz wakisubiri sare tu.
Argentina itapita
Portugal wataenda playoff watapewa denmark then watabanjuliwa
 
Messi ndo anaweza kukosa sio Ronaldo ktk mechi kama hiyo na Uswisi inazungumzwa kama mechi ngumu lkn kwa Ronaldo hiyo si mechi ngumu kwake bali anaiwazia kama mechi muhimu ndo utakutaga anapiga hatrick Ureno yote mabegani kama KingKong
😀
 
Tena mi naombea Timu zao zishindwe...tumeshawachokaaaa tunataka damu mpyaaaa
vipaji vipyaaaa washindwe tuuu...kila siku Messi Ronaldo...wakati sasa hivi woote hakuna kitu....tunataka kuona damu mpya kina james rodriguez,Nigeria,France na timu tuu nyingine zisizo na majina zikitoa wachezaji wazuri

Mkuu ikigijo. Utawaachaje wachezaji bora wa dunia kuingia URUSSI??? Au ww co shabiki haswaa wa football. Shabiki wa kweli hawezi kuombea the best team kama ARGENTINA ikose kuingia URUSSI,,,,na Pia huwezi ukamuacha LEONEL MESSI mchezaji bora kuwahi kutokea aikose michuano hiyo. Argentina ni muhimu kuliko timu yoyote in the world na King Messi ni muhimu kuliko mchezaji yoyote unaemjua.

Naombea ARGENTINA ipite.

Naombea PORTUGAL vilevile apite.
 
Mimi sio tu Mshabiki ni mnazi wa Footbal...Now tumechoshwa na kila siku hadithi na Messi na Ronaldo mwisho wa siku hakutakuwa na Ladha ktk game....inatakiwa sasa hivi viibuke vipaji vipya sasa vitaibukaje???ni kwa kupewa nafasi ya kusikika....kuna Timu kama France,German,Belgium,chile,Brazil,nk....yaani tuanataka ladha mpya mkuu...mimi sasa hivi sioni kipya cha hao jamaa wawili...wote wapo above 30.
 
Wote watamfuata balle
alikoelekea Jana aliambiwa
aktazame hyo michuano

kwenye TV p1 na Tim ya yataifa
wales walipewa hlo jukumu na
Jamhur ya Ireland
 
Mkuu ikigijo. Utawaachaje wachezaji bora wa dunia kuingia URUSSI??? Au ww co shabiki haswaa wa football. Shabiki wa kweli hawezi kuombea the best team kama ARGENTINA ikose kuingia URUSSI,,,,na Pia huwezi ukamuacha LEONEL MESSI mchezaji bora kuwahi kutokea aikose michuano hiyo. Argentina ni muhimu kuliko timu yoyote in the world na King Messi ni muhimu kuliko mchezaji yoyote unaemjua.

Naombea ARGENTINA ipite.

Naombea PORTUGAL vilevile apite.
Hatuombei Argentina ikose kwenda Urusi,lakini wakikosa kwenda wamevuna walichokipanda maana kichezaji yao mizembe sana.Just imagine 90% yz kikosi chao kimeundwa na best players kwa sasa duniani.Sasa team kama hiyo inashundwaje kufuzu mapema inabaki kukalia kuti kavu na kuomba flani apoteze ili yenyewe ipite?.MIchezaji haijitumi,kazi kunyoa mitindo ya nywele tu.Captain mwenyewe hayuko aggressive,amekaa kilaini laini tu.Wenzao Brazil wamefuzu mapema tu tena bila stress,na wala siyo kwamba wana wachezaji ma star saana kuliko Argentina la hasha.Ni ile kujituma tu na ufundi na vipaji walivyonavyo.Wewe Argentina leo ni timu ya eti kuiombea ishinde ili kufuzu?.Na kule Ecuador siyo rahis kiasi hicho kushinda,maana kuna hali ya hewa mbaya kama kule Bolivia,na wote tunajua Argentina huwa wanapatwa na nini wakikutana na hii hali,Kwa taarifa yako,kwa miaka 16 Argentina hawajawahi kupata ushindi kwenye ule uwanja.Sasa sijui leo itatokea miujiza gani.
 
Tena mi naombea Timu zao zishindwe...tumeshawachokaaaa tunataka damu mpyaaaa
vipaji vipyaaaa washindwe tuuu...kila siku Messi Ronaldo...wakati sasa hivi woote hakuna kitu....tunataka kuona damu mpya kina james rodriguez,Nigeria,France na timu tuu nyingine zisizo na majina zikitoa wachezaji wazuri
Wewe una kitu??
 
Back
Top Bottom