JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Hapa kwetu kila mtu muongo,janja janja nyingi,Raisi muongo,yeye na ccm yake wanachanganyikiwa wakiona watu wengine Wana maoni mbadala kuhusu corona,kila siku madudu,utumishi wa umma,unaita watu 9000!kwenye nafasi zisizo zidi 100!wanataka tuamini kwmaba wanatenda haki,kumbe ni kichaka Cha kupiga pesaHapa kwetu tunaendelea kupambana na ^magaidi^ kwanza, then tukiwa salama, milango itakuwa wazi tu hivi karibuni! 🙂
Tunaweza kabisa mkuu Ila sisi tuliamua kuwatumia wakina Steve Nyerere,Jb,Diamond kujitangaza.Kwahiyo sisi tumeshindwa kuwapa Chelsea, Man City, Man U n.k kwa £40 kila klabu
Hapa kwetu tunaendelea na magaidi na mabalozi wanoteuliwa ni kina mbususu mnadani. WTF ifike mahala tupate watu wenye maarifa sio hawa wenye utapia mlo wa ubongoKuhama kwa Messi kutoka Barcelona kwenda PSG kumeongeza thamani zaidi kwa ile kampeni ya Rwanda. Kutambulishwa kwa Messi kumeiongezea PSG kiasi cha followers millioni 2 na yeye binafsi ana zaidi ya 200M kwenye Instagram ambao kuanzia sasa neno Visit Rwanda litakua likionekana kwao mara kwa mara. Nadhani Warwanda watakua na furaha zaidi katika huu uhamisho wa Messi.
Kama mdau wa utalii nimefurahi sana kuona wenzetu wakijitahidi kufanya yaliyo bora kwa sekta yao muhimu ya uchumi. Hopefully na sisi one day neno Visit Tanzania litaonekana zaidi ya kwenye jezi ya Simba.
Tulimpa Zari ubalozi wa utalii,sijui hata anatutangazia wapi.Tuna mlima kilimanjaro lakn tumeshindwa kuutangaza daah nchi ina viongozi wazembe hii. Hasa hiyo wizara ya utalii..
Sent using Jamii Forums mobile app
Zari anajulikana dunia ipi na watalii wa wapi..? Daah usoro mtupu. Wape matimu makubwa wacheza sinema za hollywood huko uone kama utalii hauwi nyomi wengine ikiwezekana wacheze movie kabsa inaonesha mlima kwa mbali. Wakiambiwa hawana maarifa wana singizia ugaidiTulimpa Zari ubalozi wa utalii,sijui hata anatutangazia wapi.
ndio mana hata sisi (wananchi wengi) hatukuwa na shida sana na magufuli kuhusu mambo ya upinzani, shida yetu ilikua masuala ya mdororo wa kiuchumi.....Hata Rwanda PK anawafinya wapinzani wake walio nje na ndani ya Rwanda,tena anawauwa kabisa,anawaita magaidi,bila hivyo Rwanda isingetulia na kupata maendeleo makubwa kama inavyoonekana sasa.Kagame akili kubwa angecheka na nyani Rwanda pasingekalika.
Serikali ihakikishe Simba inapata mafanikio zaidi.Kuhama kwa Messi kutoka Barcelona kwenda PSG kumeongeza thamani zaidi kwa ile kampeni ya Rwanda. Kutambulishwa kwa Messi kumeiongezea PSG kiasi cha followers millioni 2 na yeye binafsi ana zaidi ya 200M kwenye Instagram ambao kuanzia sasa neno Visit Rwanda litakua likionekana kwao mara kwa mara. Nadhani Warwanda watakua na furaha zaidi katika huu uhamisho wa Messi.
Kama mdau wa utalii nimefurahi sana kuona wenzetu wakijitahidi kufanya yaliyo bora kwa sekta yao muhimu ya uchumi. Hopefully na sisi one day neno Visit Tanzania litaonekana zaidi ya kwenye jezi ya Simba.
Serikali ihakikishe Simba inapata mafanikio zaidi.
Zari anajulikana dunia ipi na watalii wa wapi..? Daah usoro mtupu. Wape matimu makubwa wacheza sinema za hollywood huko uone kama utalii hauwi nyomi wengine ikiwezekana wacheze movie kabsa inaonesha mlima kwa mbali. Wakiambiwa hawana maarifa wana singizia ugaidi
Sent using Jamii Forums mobile app