Messi: Thubutu Nisiwafunge Chelsea kwani nimelogwa? Nawasubiria hata Nou Camp machinjioni

Lakini vile vile inawezekana pia huko Camp nou akachezea goli nyingi tu! Usibase sana matumaini yako na kuyaweka kwenye upande mmoja tu,
Hope for the best but be prepared for the worst.
 
Nyiny dawa yenu Bayan Munich tuu bac ndo dawa yenu....
 


Leo umeshusha nondo kweli kweli na umekiri mwenyewe kuwa MESSI NI MFALME. but unakosea kusema mfalme wa camp nou,,, unatakiwa umtambue kuwa yeye ni MFALME WA SOKA DUNIANI' hapo ningekuwelewa kamanda. Sasa just delete hicho kipande and then andika "MFALME WA SOKA DUNIANI KUWAHI KUTOKEA"


Kitu kingine Kamanda!
Messi kafunga magoli 6 kwa man city
Messi kafunga sio chini ya goli 9 kwa Arsenal.


Ahsante! Mungu akubariki.....
 
Juzi na jana kabla ya mechi mlisema Chelsea atachezea tatu sijui dozen. Baada ya mechi mmekuja na jingine tena.....

Ivi ulitazama mechi lakini!! Ulimcheki messi alizungukwa na defennders wangapi?? Wengine walikuwa wanaogopa hata kumkaba/kumfata wanajua hili jamaa litatudhalilisha tuonekane mafala kama alivyowafanya FERNANDINHO, BOATENG,MARCELO,RAMOS,CASEMIRO manusura awavunje viuno. Messi hakubakiza mtu ktk hii dunia, omba ukutane na mchezaji yeyote wa zamani na wa sasa but sio kiumbe hiki kuwahi kutokea utajuta baba.
 
Kwan kuna sheria inayozuia mchezaji asizungukwe na walinzi?.
Mbona unaleta ujuaji hata angezungukwa na timu nzima suala ni nn wanatarget!.
 
Kwan kuna sheria inayozuia mchezaji asizungukwe na walinzi?.
Mbona unaleta ujuaji hata angezungukwa na timu nzima suala ni nn wanatarget!.

Hakuna sheria inayozuia, but Messi kama unavyomjua ni mzee wa kukusanya kijiji.hata umkabe vipi laini atatumia njia yeyote usiyoijua wewe atakudhalilisha na atapenya...."waulize wakina marcelo na vijana wa Guardiola kilichowakuta hawatakisahau katika maisha yao" So mchezaji kama Messi anaandaliwa kabisa mabeki wakubwa wa kumzunguka anytime. Ndio maana nimekuuliza ulicheki mechi?
 
Siwez kuacha kuangalia mechi kubwa kama ile boss!.
Nadhan hatuelewan kitu kidogo tu mkuu.....kabla ya mechi yalikuwa maneno meeeeeeengi mara Chelsea anakufa,oooh watapigwa 3 na kejer kibao yaan tulikosa amani. Tukawaambia sio rahisi hivyo Chelsea kufungwa na Barcelona kama mnavyodhan na ndicho kilichotokea.
Baada ya mechi mmegeuza tena tutaua Camp Nou mara oooh Messi sijui nini na nini!. Hivi kuna mtu asiyemjua Messi na ubora wake?,iwaje leo ndo mtoe sifa nyiiiiingi as if ni kitu kipya kumbe ni kawaida kwa Messi kuwa bora.
 
Ile suluhu haiwezi kumvusha chelsea wakipiga mpira kama ule wa pale darajan chelsea anaweza kusonga
 

Nakweli kamanda wangu sikukatalii kwa hilo, umejieleza vizuri kabisa, kwenye black nimepapenda zaidi nikweli kawaida kwa Messi kuwa bora,, na kufunga pia kwake ni kitu cha kawaida kabisa,,, .....so tusubiri siku ifike kamanda!
 
Messi namkubali na barca ni chama langu, Ila ukweli huwa siupindishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…