Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

Sijakuelewa unataka kusema ronaldo ni Bora kuliko Mess au?
 
Kwangu mimi CR7 ni mzuri, ila Messi mzuri zaidi. Cr7 anakasi, nguvu, drible, anafunga, anapiga free kick hivyo vinamfanya kuwa mkali duniani. Anapendwa na media, anajipenda, anapenda kujiangalia kwenye kioo...huyo ndio cr7 3 times ballon d'or

4 times ballon d'or, Leonel Messi anakasi, ingawa hana nguvu kama cr7, anadrible, anatandika freekick, anafungaaaa, anatisha anapokuwa ndani ya 18, anapendwa na media, sio b-show. Mkatoliki mcha mungu, hayo ndio mambo yanayo mfanya Leonel Messi kuwa mkali zaidi hapa duniani

swali: katika umri wake wa miaka 30 cr7 kafunga magoli mangapi katika mechi za kimashindano kwenye vilabu vi3 alivyo vichezea? Timu ya taifa magoli mangapi + mechi za kirafiki?

Hali kadhalika Messi hivyo hivyo. Goli ngapi na barca? Ngapi na national timu?
 
Nikikubatiza Jina Zuri La POPOMA Nitakuwa Nimekosea?
 
Me i love the humble boy, he's generous, he's very innocent, hata makuu wala kinyonge, ana personality ya kutosha....
MESSI ni mpango wa mungu
 
Benz ni jina kubwa but model ni nyingi sana,kuanzia ndogo mpk kubwa kabisa km Actros. Pia bito vile vile,so be specific kuhusu Benz na Bito ili ueleweke vizuri.
Suala ni na mkali zaidi kisoka,watu mnaleta habari za mcha Mungu na upole! Mambo ya kifaransa kwenye umiss hayo..
 
Mkuu umesahau CR7 anafunga kwa vichwa, ana uwezo wa kukaba, ndiye Ballon D Or holder.
Alafu sidhani kama ni sahihi kuangalia wingi wa magori, ndo umpate yupi ni bora. Mf. Mrisho Ngasa wetu ndo anongoza kwa kufunga goli nyingi CL ya Africa msimu huu, but ukisema yeye ni bora Africa ni kichekesho.
 
Messi anaweza kucheza kama playmaker, yani mid, kwa skills aluzokuwa nazo kitu ambacho cr7 hajawahi kuthubutu , na hana skills hizo, yeye ni mbio na mashuti tu
 
we kwanini ukiwa kwenu hucheki na m2 lakin ukifika kwa nanilii unakeneka meno? wanaangalia maslahi alaa!!!!
 
Messi anaweza kucheza kama playmaker, yani mid, kwa skills aluzokuwa nazo kitu ambacho cr7 hajawahi kuthubutu , na hana skills hizo, yeye ni mbio na mashuti tu

CR7 anapiga mashuti, ana drible atakavyo, ana kasi kama mshale, anapiga vichwa, anaweza kukaba timu inapozidiwa, vitu ambavyo Messi hata awe anashinda uwanja wa mazoezi 24/7 hawezi kuwa navyo.
 
CR7 Napenda kumwangalia anavyofunga magoli.

Mess Napenda kumwangalia muda wote anavyokua uwanjani.

Nikitaka magoli namtafuta CR7

Nikitaka burudani na magoli Mess anahusika.
 
Mtoa Mada kauliza kwanini wote ni famba kwenye timu za taifa watu mnakomalia NeSSI mkaliii mara Christina zaidi MNA matatizo gani wachangia Mada???haya rudini ktk mstari mbishane mkiwa ktk mstari
 
Messi anaweza kucheza kama playmaker, yani mid, kwa skills aluzokuwa nazo kitu ambacho cr7 hajawahi kuthubutu , na hana skills hizo, yeye ni mbio na mashuti tu

swadaktaa, upo sahihi mkuu!
 
Mtoa Mada kauliza kwanini wote ni famba kwenye timu za taifa watu mnakomalia NeSSI mkaliii mara Christina zaidi MNA matatizo gani wachangia Mada???haya rudini ktk mstari mbishane mkiwa ktk mstari

hahahaaa mkuu uko sawaa! ngoja turudi kwenye mada, mpira wa siku hz umebadilika tofaut na zaman hvyo huwez tegegemea mchezaji mmojamoja, wachezaj wanatakiwa wacheze ki-team zaidi!
 
Messi anaweza kucheza kama playmaker, yani mid, kwa skills aluzokuwa nazo kitu ambacho cr7 hajawahi kuthubutu , na hana skills hizo, yeye ni mbio na mashuti tu

Kweli kabisa mkuu Mess is the best ila CR7 is one of the best
 
Cr7 ana balon d'Or mbili tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…