Kwangu mimi CR7 ni mzuri, ila Messi mzuri zaidi. Cr7 anakasi, nguvu, drible, anafunga, anapiga free kick hivyo vinamfanya kuwa mkali duniani. Anapendwa na media, anajipenda, anapenda kujiangalia kwenye kioo...huyo ndio cr7 3 times ballon d'or
4 times ballon d'or, Leonel Messi anakasi, ingawa hana nguvu kama cr7, anadrible, anatandika freekick, anafungaaaa, anatisha anapokuwa ndani ya 18, anapendwa na media, sio b-show. Mkatoliki mcha mungu, hayo ndio mambo yanayo mfanya Leonel Messi kuwa mkali zaidi hapa duniani
swali: katika umri wake wa miaka 30 cr7 kafunga magoli mangapi katika mechi za kimashindano kwenye vilabu vi3 alivyo vichezea? Timu ya taifa magoli mangapi + mechi za kirafiki?
Hali kadhalika Messi hivyo hivyo. Goli ngapi na barca? Ngapi na national timu?