wewe unajua hesabu kweli? miaka CR7aliyocheza Man U alifunga magoli mangapi? kisha jumlisha na ya la liga!
Messi kacheza mechi 17 chache zaidi na ana umri mdogo kushinda cr7 lakini ana magoli sawa na cr7 wote 69 huku cr7 akiwa na penalty robo ya magoli yake. Sasa hapo utaona nani mkali
sasa inakuwaje kaka amepitwa na mdogo wake ??
ronaldo 29 messi 27 miaka yao ndio hiyo
makombe
tuzo binafsi
ha ha ha ha ha ha ha ha
amepitwa nini sasa? mpaka sasa CR7 ameshachezea ligi kubwa mbili vipi messi? tuanzie hapo!
kwani CR7 kaanzia kucheza mpira La Liga?
kapate supu mkuu
umesahau ronaldo ni mkubwa kwa messi kwa miaka miwili halafu ronaldo kafichwa kwenye kila kitu
ha ha ha ha ha ha
ant-messi
MO11 acha mahaba, mpira magoli kaka. Wakati Ronaldo anapiga EPL Messi miaka yote hiyo yupo Barcelona. Jamaa kacheza la liga miaka mitano anatofauti ya magoli 58 aliyofunga Messi miaka yote hiyo.
sasa una hakika gani kama ronaldo akifikisha miaka kumi atafikia magoli 250 acha uchuro
then why umechukua rekodi moja tu
Hivi ronaldo kacheza misimu mingapi epl na kachukua ufungaji bora mara ngapi ? kwanini yote asichukue yeye ?
wewe unavyoona Messi kapitwa nini na ronaldo ?
Hivi ronaldo kacheza misimu mingapi epl na kachukua ufungaji bora mara ngapi ? kwanini yote asichukue yeye ?
Messi na Ronaldo ni maforwad. Wamepewa mikataba na wanalipwa hela nyingi na timu zao kwa ajili ya upachikaji mipira wavuni. Mpira ni magoli, sasa ukileta hadithi kwamba Messi anajua kuremba kuliko Ronaldo nakuona hujui mpira. Ronaldo ndio anapiga magoli mengi, kwahiyo Ronaldo is the best, PERIOD!
Kama hujui kapitwa nini, angalia hapa, hii ni kwa lugha kihispania, lakini ni simple tu kuelewa, hii ni kufikia juzi jumamosi.
nilikuuliza hivi
ukajibu hivi
halafu unaendeleza ubishani wa kitoto
ili tuendelee jibu hili swali
ronaldo kacheza misimu mingapi epl na kachukua ufungaji bora mara ngapi kwanini yote asichukue yeye kama yeye ni bora ??
katika miaka 7 amechukua ufungaji bora mara 1 epl
halafu bado unaendeleza ubishani wa kitoto ha ha ha ha ha ha
MO11 mi nilishasema wewe una mahaba, kwa hiyo unaongea tu alimradi ubishane. Sasa unauliza habari za EPL na Messi wapi na wapi? Kama hujui,Messi hajawahi kucheza EPL, tangu azaliwe timu yake ni Barcelona na kwenye misimu kumi aliyocheza kafunga magoli 250 tu, Ronaldo kacheza la liga misimu 5 kafunga magoli 192. Sasa sema wewe nani forward bora?
misimu 7 ya epl ronaldo kafanya nini ??
mbona unaleta ubishani
kwa staili hiyo Henry ni nuksi kuliko ronaldo
Topic ni Ronaldo vs Messi, Henry wakati wake umepita, na ukiongea Ronaldo kafanya nini EPL, bado hujathibitisha kwamba Messi ni zaidi. Nimekupa data za magoli hutaki, basi umeshinda wewe.
Acha kutoa analysis za kijinga.wazungu wanawalinganisha kwa kuangalia average kwa msimu.chukua magori ya messi gawanya kwa misimu 10 then chukua magori ya ronaldo gawanya kwa misimu 5.halafu linganisha
data zipi ??
angalia tangu 2009 nani ana magoli mengi kama kigezo chako magoli
kama kigezo chako makombe angalia tangu 2009 nani ana makombe mengi
kama kigezo chako awards angalia tangu 2009 nani ana awards nyingi halafu urudi hapa
nb 2009 tangu ronaldo atue Madrid