Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

wewe unajua hesabu kweli? miaka CR7aliyocheza Man U alifunga magoli mangapi? kisha jumlisha na ya la liga!

sasa inakuwaje kaka amepitwa na mdogo wake ??

ronaldo 29 messi 27 miaka yao ndio hiyo
makombe
tuzo binafsi
ha ha ha ha ha ha ha ha
 
Messi kacheza mechi 17 chache zaidi na ana umri mdogo kushinda cr7 lakini ana magoli sawa na cr7 wote 69 huku cr7 akiwa na penalty robo ya magoli yake. Sasa hapo utaona nani mkali

kwani CR7 kaanzia kucheza mpira La Liga?
 
sasa inakuwaje kaka amepitwa na mdogo wake ??

ronaldo 29 messi 27 miaka yao ndio hiyo
makombe
tuzo binafsi
ha ha ha ha ha ha ha ha

amepitwa nini sasa? mpaka sasa CR7 ameshachezea ligi kubwa mbili vipi messi? tuanzie hapo!
 
kapate supu mkuu

umesahau ronaldo ni mkubwa kwa messi kwa miaka miwili halafu ronaldo kafichwa kwenye kila kitu
ha ha ha ha ha ha

ant-messi

MO11 acha mahaba, mpira magoli kaka. Wakati Ronaldo anapiga EPL Messi miaka yote hiyo yupo Barcelona. Jamaa kacheza la liga miaka mitano anatofauti ya magoli 58 aliyofunga Messi miaka yote hiyo.
 
MO11 acha mahaba, mpira magoli kaka. Wakati Ronaldo anapiga EPL Messi miaka yote hiyo yupo Barcelona. Jamaa kacheza la liga miaka mitano anatofauti ya magoli 58 aliyofunga Messi miaka yote hiyo.

Hivi ronaldo kacheza misimu mingapi epl na kachukua ufungaji bora mara ngapi ? kwanini yote asichukue yeye ?
 
sasa una hakika gani kama ronaldo akifikisha miaka kumi atafikia magoli 250 acha uchuro

then why umechukua rekodi moja tu

Acha kutoa analysis za kijinga.wazungu wanawalinganisha kwa kuangalia average kwa msimu.chukua magori ya messi gawanya kwa misimu 10 then chukua magori ya ronaldo gawanya kwa misimu 5.halafu linganisha
 
Forward ya barca.messi(7)+neymar(9)+Suarez(0)=CHRISTIANO RONALDO(magori 16 la liga)
 
Hivi ronaldo kacheza misimu mingapi epl na kachukua ufungaji bora mara ngapi ? kwanini yote asichukue yeye ?

Messi na Ronaldo ni maforwad. Wamepewa mikataba na wanalipwa hela nyingi na timu zao kwa ajili ya upachikaji mipira wavuni. Mpira ni magoli, sasa ukileta hadithi kwamba Messi anajua kuremba kuliko Ronaldo nakuona hujui mpira. Ronaldo ndio anapiga magoli mengi, kwahiyo Ronaldo is the best, PERIOD!
 
wewe unavyoona Messi kapitwa nini na ronaldo ?

Kama hujui kapitwa nini, angalia hapa, hii ni kwa lugha kihispania, lakini ni simple tu kuelewa, hii ni kufikia juzi jumamosi.

Meme_Clasico6.jpg

nilikuuliza hivi
Hivi ronaldo kacheza misimu mingapi epl na kachukua ufungaji bora mara ngapi ? kwanini yote asichukue yeye ?

ukajibu hivi

Messi na Ronaldo ni maforwad. Wamepewa mikataba na wanalipwa hela nyingi na timu zao kwa ajili ya upachikaji mipira wavuni. Mpira ni magoli, sasa ukileta hadithi kwamba Messi anajua kuremba kuliko Ronaldo nakuona hujui mpira. Ronaldo ndio anapiga magoli mengi, kwahiyo Ronaldo is the best, PERIOD!

halafu unaendeleza ubishani wa kitoto

Kama hujui kapitwa nini, angalia hapa, hii ni kwa lugha kihispania, lakini ni simple tu kuelewa, hii ni kufikia juzi jumamosi.

Meme_Clasico6.jpg

ili tuendelee jibu hili swali

ronaldo kacheza misimu mingapi epl na kachukua ufungaji bora mara ngapi kwanini yote asichukue yeye kama yeye ni bora ??

katika miaka 7 amechukua ufungaji bora mara 1 epl
halafu bado unaendeleza ubishani wa kitoto ha ha ha ha ha ha
 
nilikuuliza hivi

ukajibu hivi

halafu unaendeleza ubishani wa kitoto

ili tuendelee jibu hili swali

ronaldo kacheza misimu mingapi epl na kachukua ufungaji bora mara ngapi kwanini yote asichukue yeye kama yeye ni bora ??

katika miaka 7 amechukua ufungaji bora mara 1 epl
halafu bado unaendeleza ubishani wa kitoto ha ha ha ha ha ha

MO11 mi nilishasema wewe una mahaba, kwa hiyo unaongea tu alimradi ubishane. Sasa unauliza habari za EPL na Messi wapi na wapi? Kama hujui,Messi hajawahi kucheza EPL, tangu azaliwe timu yake ni Barcelona na kwenye misimu kumi aliyocheza kafunga magoli 250 tu, Ronaldo kacheza la liga misimu 5 kafunga magoli 192. Sasa sema wewe nani forward bora?
 
misimu 7 ya epl ronaldo kafanya nini ??

mbona unaleta ubishani

kwa staili hiyo Henry ni nuksi kuliko ronaldo
 
misimu 7 ya epl ronaldo kafanya nini ??

mbona unaleta ubishani

kwa staili hiyo Henry ni nuksi kuliko ronaldo

Topic ni Ronaldo vs Messi, Henry wakati wake umepita, na ukiongea Ronaldo kafanya nini EPL, bado hujathibitisha kwamba Messi ni zaidi. Nimekupa data za magoli hutaki, basi umeshinda wewe.
 
Topic ni Ronaldo vs Messi, Henry wakati wake umepita, na ukiongea Ronaldo kafanya nini EPL, bado hujathibitisha kwamba Messi ni zaidi. Nimekupa data za magoli hutaki, basi umeshinda wewe.

data zipi ??

angalia tangu 2009 nani ana magoli mengi kama kigezo chako magoli
kama kigezo chako makombe angalia tangu 2009 nani ana makombe mengi
kama kigezo chako awards angalia tangu 2009 nani ana awards nyingi halafu urudi hapa

nb 2009 tangu ronaldo atue Madrid
 
Acha kutoa analysis za kijinga.wazungu wanawalinganisha kwa kuangalia average kwa msimu.chukua magori ya messi gawanya kwa misimu 10 then chukua magori ya ronaldo gawanya kwa misimu 5.halafu linganisha

mkuu huyo MO11 hata hesabu hajui!
 
Last edited by a moderator:
Messi ni bora na tuzo ya ballon d'or mara 4...... Ronaldo hategemei

alikuwa mwiba world cup na alikuwaa motisha kubwa kwa argentina hadi world cup final
tofauti na kilaza ronaldo

messi amevunja na kufikia rekodi nyingi tu kuliko cr.....

Hata hayo magoli 250 ya la liga huyo cr hana uhakika wa kuyafikia...
 
data zipi ??

angalia tangu 2009 nani ana magoli mengi kama kigezo chako magoli
kama kigezo chako makombe angalia tangu 2009 nani ana makombe mengi
kama kigezo chako awards angalia tangu 2009 nani ana awards nyingi halafu urudi hapa

nb 2009 tangu ronaldo atue Madrid

Hakuna haja ya kuchukua 2009
hapa tunamfananisha messi vs ronaldo ktk maisha yao ya mpira tangu walivyoanza

hatuwezi kukompare watu kibaguzi

why uanze 2009??

Jumlisheni mechi zote za ronaldo kuanzia URENO EPL HADI LA LIGA THEN compare na maisha ya mpira ya KING LEO MESSI

full stop
 
Hivi vigezo gani vinatumika kusema mchezaji anaisaidia timu yake ya taifa? Mafanikio ya timu yeyote mwisho wa siku yanategemea mchango wa kila mchezaji. Messi na Ronaldo magoli wanazifungia timu zao tena mengi tu, lakini hawawezi kuwa mabeki au magolikipa pia. Sijawahi kusikia hata siku moja watu wanasema Giggs haisaidii Wales huku akicheza kwa mafanikio makubwa ManU. Nani amewahi kumlaumu George Weah kwamba haisaidii Liberia kuchukua makombe? Hakuna!
Hakuna sababu ya kuwapa pressure kubwa hawa vijana mahiri katika historia ya soka. Tusiwe na mawazo kama ya Pele anayesema ili Messi awe bora inabidi afunge magoli 1000 na upuuzi kama yeye!
 
Back
Top Bottom