Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

Mbona el classico hakudhihirisha

Alibakia kupiga pass 14 tu mechi nzima
 
kwa hiyo asingefunga jana ingedhihirika nini? na je matokeo ya el classico yalidhirisha nini? wewe mpira uekuja kuuonea Dar chuoni nini!
 
Kadhihirisha jana na ballon d'or yake tena msimu huu hata mkikasirika
 
Mim namkubali Ronaldo zaidi ya Messi lakin thread yako ni ugoro
 
When CR scores, it's ordinary game small teams(and always Madrid already leading)
When Messi scores, frequently it's a deciding goal/s and tough games vs big Teams
Bayern is small team eheee!! Yesterday Atletico is small team eheee
 
Mimi kila mmoja namuangalia kwa aina yake ila ronaldo kwa kweli namkubali sana kwanza kitendo cha kutamba england na anaenda kuleta upinzani mkubwa kule spain hili si jambo dogo kabisa ambalo messi bado hajalifanya, kuhusu mechi ile ya elclassico sijavutiwa nayo kwa kuwa unaposhinda pambano la ngumi baada ya mwenzako kuteuka mguu mmoja bado nakua silidhiki na ushindi huo(11 kwa 10).
Nitamuomba messi akavunje marekodi huko kwingine hasahasa england. Nikimuangalia messi ana aina ya mchezo wake ambao utaupata spain tu au katika team inayofundishwa na mtu kama guadiola lakini ronaldo nae ana aina yake ya mchezo kwangu mimi huu mchezo unaweza kuupata sehemu nyingi ya dunia ndio maana huyu ronaldo anaweza enda leta upinzani mkubwa ligi yoyote ile atakayoenda cheza
 
Ronaldo alivyomzidi Messi... Kupiga mipira ya azabu kufunga kwa viungo vyote vya mwili namaanisha kichwa miguu kila kitu kamzidi uwezo... Nguvu za miguu it Means kushoot kamzidi kimo...kamzidi kuingiza pesa ndo mchezaji anaingiza pesa nyingi kamzidi followers instagram... Kutembea na watoto wazurii... Mvutoo.... Kachukua Euro Messi copa amerca kambwela... Kamzidi kucheza Club tajir na yenye historia duniani.... Vingine nimesahau ongezea......... [emoji14]
 

Attachments

  • IMG-20170502-WA0041.jpg
    46.1 KB · Views: 65
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…