Hoja yakipuuzi sana Ronaldo anazungukwa na vilemaRonaldo habari nyingine I used to call him one man army, Messi ni mzuri lakini akizungukwa na wachezaji wazuri..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja yakipuuzi sana Ronaldo anazungukwa na vilemaRonaldo habari nyingine I used to call him one man army, Messi ni mzuri lakini akizungukwa na wachezaji wazuri..
Mkuu huyo jamaa mpira haufaham kabsa...Hoja yakipuuzi sana Ronaldo anazungukwa na vilema
pia umesahau zile game za juzi Barca vs Juventus na Madrid na BayernKuna mambo mawili tu yanaweza kukufanya usione tofauti ya Messi na Ronaldo:
1. Upumbavu
2. Kutoangalia mechi ya juzi
Na kwa ujumla kufunga ndiko kuna command matokeo ya mchezo na mafanikio ya timu.Haswaaa.... Japo Kuna mech huwa hafungi pamoja na kupewa nafac nying..mfano mech ya juz alikosa Magoal pamoja kusubir mipira ifke kwake lakn hilo halimuondolei credit kama mfungaj..bado nna amin Katka ufungaj wake na si uchezaj na movement zake uwanjan...Linapokuja swala uchezaj na movement zake uwanjan hatofautian kabsa na kina inzagh ama kluvert..Ronaldo anakua mzigo zaid..hata team ya taifa miaka yote alieibeba ureno n Luis nan..angalia nusu fainal ilichezwa kat ya Spain vs Portugal, uero iliyopta.....but in real sense Marcelo n hatar sana...hata mech ya juz Magoal yote mawil yeye ndie mpish mkubwa...anajua jins ya kutia presha kwa wapinzan.....
Kwa hyo kuwalinganisha Hawa jamaa sio fair kabsa...Ronaldo is quiet different from Messi... Kwa kuangalia matukio ya wachezaj ndan ya uwanja..tukumbuke kufunga n tukio moja wapo ya matukio meng uwanjan
Hii ndio point iliyopo vitu vingine ni bahati tu lakini ukweli utabaki pale pale jamaa anakipaji cha hali ya juu kacheza fainali tatu hapa karibuni na national timu lakini bahati haikuwa yao. Hata mifano mingi ipo tu mitaani utakuta kilaza tu lakini katoboa life.Kwa haya maandishi yako basi hata Muller wa Germany nae ni bora kuliko messi maana nae kabeba World cup!?
Sometimes katika maisha kuna watu wana bahati ila hawana uwezo na hapa tunazungumzia uwezo not otherwise.
Yea kufunga Kuna command matokeo ya mchezo lakn Magoal Yana njia zake..Na kwa ujumla kufunga ndiko kuna command matokeo ya mchezo na mafanikio ya timu.
Hapo kuna utofauti mkubwa mno. Tofauti kati ya Messi and Cr7 ni uwezo.
King messi anatumia akili uwanjani, anakusanya mkoa anafunga. Na hakuna mchezaji yoyote aliyemfikia leo messi tangia soka lianze hapa duniani. Ctaki ubishani wakati ki2 kinaeleweka.
Cr7 ana2mia nguvu/boxer, magoli yake mingi yakupewa na kumarizia.
Kwahiyo ni kosa kubwa mno kulinganisha SHEPHERD na KOKO
1 KING MESSI
2 KING DIEGO
3 pele
4 alfredo de stefano
5 Zinedine
6 requelme
7 cr7
8 redondo
9Burruchagga
9 iniesta
10 Aguero
10 Beckenbauer
11 De lima
12 Dybala
Unaongea kama kocha !!!Yea kufunga Kuna command matokeo ya mchezo lakn Magoal Yana njia zake..
Pale team inaposhindwa kufunga na ukisubil mipira il ufunge hapo ndo utaonekana mzigo kwenye team...yaan huna mchango maana no scoring and ua nothing in the pitch so in order to avoid that u need to make some movement in the pitch...
Messi amezaliwa anajua ronaldo anafanya sana mazoez na anatumia nguvu kubwa kuwa pale alipo...Rinaldo uwezi kumfananisha na takataka messi kwani hata magoli yete aliyofunga kwa jumla ni mengi sana mess hafiki hata nusu. Ninaposema yote namaanisha aliyoyafunga akiwa fc porto, united, Madrid na timu yake ya taifa. Pia ronaldo amedhiirisha kwamba yeye ni bora kwa kecheza timu tofauti tofauti na kupata mafanikio makubwa kwa kila timu aliyoichezea na kuwa kunara wa ufungaji magoli
Pia tukumbuke ronaldo amecheza na viungo katika timu tofauti lakini pamoja na hayo yote ameendelea kutesa kama kawaida.
Sasa tumwangalie messi, ninasema hata nigekuwa mimi, ukaniweka pamoja na iniesta na sharvi kwa muda mrefu nikazoea, kucheza na hao viumbe wa ajabu katika soka, nisingeshindwa keep tu chochote. Au chukulia ronaldo ka angepata nafasi ya kucheza pamoja na hao niliowataja ingekuwaje?
Wote bila shaka mtakubaliana na Mimi kwamba messi ameshindwa kupata mafanikio katika timu yake ya taifa kwa sababu ya kuwakosa hao watu wawili yaani iniesta na shavi.
Hivyo basi messi ninamuona kuwa wa kawaida sana kwa sababu ameshindwa kucheza na kupata mafanikio akiwa hana hao kina iniesta na shavi, lakini ronaldo ninamuona ni bora sana zaidi ya messi kwa sababu amefanikiwa katika timu zote alizozichezea akiwa na wachezaji tofauti tofauti, na kufanikiwa kufunga magoli kama atakavyo.
Na hizo nazo Messi na Ronaldo walikutana? Au ndio sababu namba moja inakusumbua?pia umesahau zile game za juzi Barca vs Juventus na Madrid na Bayern
nastick kwenye point yakoNa hizo nazo Messi na Ronaldo walikutana? Au ndio sababu namba moja inakusumbua?
Unapojaribu kivyako that means mpira haufaham kabsa....runninga zipo.., movement uwanjan tunaziona... Kitaalam Hao watu n tofaut kabsaMajibu ya ilo swali kila mtu atajibu kwa mapenzi yake aidha kwa club au mchezaji mwenyewe.Ila mimi kwavile hawa watu wanacheza namba tofauti na timu tofauti kwangu aliye bora ni yule anayeisaidia timu yake kupata vikombe.Iwe ni timu ya taifa au club.Mim naamin ubora wa mchezaj unatokana na ubora wa wachezaj wenzake uwanjani.Kama ubora wa messi ungekua hautegemei ubora wa wenzake basi inamaana vikombe vyote angeweza kuchukua na hali kadhalika kwa ronaldo.kwasababu unaweza ukawa na kipaj ila kukikamilisha ili kiwe faida lazima upate msaada toka kwa wenzako.Kwaiyo itoshe kusema wote ni sawa kwa nafas zao na ubora wa timu zao na udhaifu wa timu pinzani pia.
Nayo ina ongeza factRonaldo alichomzidi messi ni urefu na idadi ya mademu aliokanyaga tu.
Kwenye Derby kubwa halafu una ibuka na hat trick Messi hapo kaachwa mbali sanaRonaldo alichomzidi messi ni urefu na idadi ya mademu aliokanyaga tu.