Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

Messi namfananisha na Luxury car like Alteza kwenye Lami utaipenda lakini kwenye Tope na Makorongo inachemsha, Ronaldo namfananisha na gari zenye muundo wa Station Wagon like BMW X5 kwenye Lami utaenjoy kwenye makorongo na mvua bado utaenjoy so Ronaldo popote pale utakapomuweka hawezi kukuangusha sio km Messi ana mechi zake na timu zake za kuzifunga timu ikizidiwa hawezi kutoa msaada wowote anafichwa zaidi.
 
Rinaldo uwezi kumfananisha na takataka messi kwani hata magoli yete aliyofunga kwa jumla ni mengi sana mess hafiki hata nusu. Ninaposema yote namaanisha aliyoyafunga akiwa fc porto, united, Madrid na timu yake ya taifa. Pia ronaldo amedhiirisha kwamba yeye ni bora kwa kecheza timu tofauti tofauti na kupata mafanikio makubwa kwa kila timu aliyoichezea na kuwa kunara wa ufungaji magoli
Pia tukumbuke ronaldo amecheza na viungo katika timu tofauti lakini pamoja na hayo yote ameendelea kutesa kama kawaida.

Sasa tumwangalie messi, ninasema hata nigekuwa mimi, ukaniweka pamoja na iniesta na sharvi kwa muda mrefu nikazoea, kucheza na hao viumbe wa ajabu katika soka, nisingeshindwa keep tu chochote. Au chukulia ronaldo ka angepata nafasi ya kucheza pamoja na hao niliowataja ingekuwaje?
Wote bila shaka mtakubaliana na Mimi kwamba messi ameshindwa kupata mafanikio katika timu yake ya taifa kwa sababu ya kuwakosa hao watu wawili yaani iniesta na shavi.

Hivyo basi messi ninamuona kuwa wa kawaida sana kwa sababu ameshindwa kucheza na kupata mafanikio akiwa hana hao kina iniesta na shavi, lakini ronaldo ninamuona ni bora sana zaidi ya messi kwa sababu amefanikiwa katika timu zote alizozichezea akiwa na wachezaji tofauti tofauti, na kufanikiwa kufunga magoli kama atakavyo.
 
Habari wadau, moja kwa moja niende kwenye maada,
Kila nikijaribu kuwatofautisha Messi na Ronaldo nani ni bora kuliko mwenzake, nashindwa kupata jibu, kwa sababu sioni sababu yoyote inayoonyesha direct kwamba mmoja ni bora zaidi ya mwenzake,.
Najua humu kuna wataalam wengi , naomba msaada , kufahamu nani ni bora kuliko mwenzake na sababu gani zinazotumika kuwatofautisha na kufanya mmoja awe juu ya mwenzake.

Messi anafananishwa na Malaika waliopo Mbinguni huku Ronaldo anafananishwa na Mashetani yaliyopo duniani.
 
Mess habari nyingine mkuu .....Mimi binafsi nilishanyooka Mikono tangia majuzi sitaki tena kumfananisha mess na watu wa dunia hii! Mess siyo mchezaji wa sayari hii! Jamaa hata mpige pini vipi mtaishia kupata njano,nyekundu,au penalty.. CR7 akishapigwa pini anaishia kulalama tu kurusha rusha mikono!
 
Mess nikama samaki, uwezowake ni kuishi Ndani ya Majitu.Yaani kuchezea Barca tu, Messi njeya Barca ni sawa na Mavugo yaani hauna uhakika kama atafunga goli au atacheza vizuri,hasa akiwaArgentina.Yaani uwezowake niwakawaida sana.
Christian Ronaldo nikama Kambare, anaweza kuishi ndaniyamaji yaani RealMadrid na anaweza kuishi njeya maji yaani kwenye matope.
Ata akiwaTimu yataifa R7 ni Hatari, naningumu kumzuia .Ata timuyake ikiwa haichezi vizuri bado anabaki kuwahatari, waulize Juve walio watoa Barca kwenye mashindano ya Ulaya watakueleza tofauti yao.
Kama ikitokea Messi akiondoka Barca basi uo ndioutakua mwishowa umaarufu wake katika soka. maana Samaki hawezi ishi nje yamaji kamainavyo jidhirisha akiwa Argentina.
Ila Ronaldo amejidhihirisha alipoondoka Man U Amekua mzuri zaidi,kwamaana popote anapocheza yeyeni hatari.
Unaongea pumba tupu
 
De Lima ni mshambuliaji mahiri aliyecheza na kuwa na mafanikio makubwa sana katika ligi mbalimbali na bora kabisa duniani akililetea Taifa lake heshima kubwa sana sawasawa la alivyofanya katika vilabu mbalimbali alikosukuma kandanda. CR7, mbali na kufanya vizuri akiwa England hajaacha kusukumiza mpira nyavuni akiwa na RMA na kwa bahati sana ametoa mchango mkubwa kwa Taifa lake akiwa mchezaji wa kawaida na pia akiwa nahodha. Hii imemfanya kuchaguliwa na kutunukiwa heshima kubwa ulaya na duniani kuonyesha ubora wake juu kabisa ya wachezaji wengine wakiwemo akina kichuya, tambwe n.k. Messi ameanza na probably atastaafu akiwa na Barca na soka lake muda wote linatazamwa sambamba klabu yake hiyo, so simply messi ni barca na barca ni messi tangu alivyoanza kuwa vibrant baada ya akina Gaucho kutoka kwenye timu hiyo. Bado hajafanikiwa sana kama hao wawili niliowataja na naamini ukiuliza deni kubwa alilonalo atataja ni la kutoibeba Argentina. Magwiji wengi wamefanya hivyo katika nchi zao. Samatta, Zidane, Gaucho, Maradona, Buffon, Maldini (Baba na Mtoto) and the list goes on.
Basically kwa nafasi zao ndani ya uwanja hawawezi kufanana kwa lolote kwa hiyo mchango ndo utawabeba na reflection ni mafanikio ya jumla.

we sio mzma kwani cr kajiuza au kanunuliwa acha uzuzu mess bola atakama angekua anacheza kagera shuga
 
Kwani messi kafanya jambo gani la kumfananisha na Ronaldo! kwanza kaisaidia timu yake kuingia nusu fainali na mwaka jana alikuwa jongoo kwa kuchukua UEFA na mwaka jana kaichangia timu yake ya ureno achukue ndoo!
ureno kaisaidia kwa lipi aswaa zaid ya wenzake ndo walipambana iyo juz ubola wa magoli ya ofside ujui mpila shabik wa man u ww mess kafanya mengi abebwi kama cr daaah kubishana na viraza jau
 
De Lima ni mshambuliaji mahiri aliyecheza na kuwa na mafanikio makubwa sana katika ligi mbalimbali na bora kabisa duniani akililetea Taifa lake heshima kubwa sana sawasawa la alivyofanya katika vilabu mbalimbali alikosukuma kandanda. CR7, mbali na kufanya vizuri akiwa England hajaacha kusukumiza mpira nyavuni akiwa na RMA na kwa bahati sana ametoa mchango mkubwa kwa Taifa lake akiwa mchezaji wa kawaida na pia akiwa nahodha. Hii imemfanya kuchaguliwa na kutunukiwa heshima kubwa ulaya na duniani kuonyesha ubora wake juu kabisa ya wachezaji wengine wakiwemo akina kichuya, tambwe n.k. Messi ameanza na probably atastaafu akiwa na Barca na soka lake muda wote linatazamwa sambamba klabu yake hiyo, so simply messi ni barca na barca ni messi tangu alivyoanza kuwa vibrant baada ya akina Gaucho kutoka kwenye timu hiyo. Bado hajafanikiwa sana kama hao wawili niliowataja na naamini ukiuliza deni kubwa alilonalo atataja ni la kutoibeba Argentina. Magwiji wengi wamefanya hivyo katika nchi zao. Samatta, Zidane, Gaucho, Maradona, Buffon, Maldini (Baba na Mtoto) and the list goes on.
Basically kwa nafasi zao ndani ya uwanja hawawezi kufanana kwa lolote kwa hiyo mchango ndo utawabeba na reflection ni mafanikio ya jumla.
Kwa haya maandishi yako basi hata Muller wa Germany nae ni bora kuliko messi maana nae kabeba World cup!?

Sometimes katika maisha kuna watu wana bahati ila hawana uwezo na hapa tunazungumzia uwezo not otherwise.
 
Mtu anaemuweka mmoja juu kati yao huyo ni mshabiki na siyo mtu wa mpira

ukitoa Messi na Ronaldo nani anaewakaribia kwa mafanikio waliyonayo ndani na nje ya mpira?? hapo ndio utajua kwamba hao jamaa wanaishi ktk dunia yao peke yao

kama yupo mnitag mkimuona

ujinga ni kujisifu una mbio bila kumsifia anaekukimbiza

binafsi nishaachaga kuwashindanisha hawa watu sababu sioni walichopishana....done
Hilo halipo na haya ndio mungu hayataki eti kati ya mungu na shetani nani ana nguvu eti unasema wote wanalingana kisha na shetani nae ana super power!? Nop!

Be specific kati ya Messi na Ronaldo nani fundi basi!

Kwa mtazamo wangu kiuwezo wa mchezeshaji hata Marcelo ni bora kuliko Ronaldo wenu ambae anaweza kuwa anamzidi Marcelo mafanikio na sio uwezo.
 
Kwani messi kafanya jambo gani la kumfananisha na Ronaldo! kwanza kaisaidia timu yake kuingia nusu fainali na mwaka jana alikuwa jongoo kwa kuchukua UEFA na mwaka jana kaichangia timu yake ya ureno achukue ndoo!
Ronaldo alikuwa mshabiki 2 kubusu ureno washkaji wengine ndo wamekomaa hata uefa Sergio ramosi ndo kapga kaz
 
Jibu si unalo au unauliza nn kwani mambo yako wazi ni Ronaldo ndo anatisha kwani kaisaidia timu yake ya taifa ya ureno kuchukua ubingwa na Club yake! Kwa mbali anafuatwa na messi ambaye kwa mda wote ameshindwa kuibeba timu yake ya taifa lakini kwenye Club yake juzi aliibeba timu yake baada ya kuitendea haki pasi ya mwenziee
World cup final two copa american final olyimpic medal jamani kwani.mpk ulibebe hilo.kombe ndio uwe umeisaidia nchi. Wangapi wamefika wolrld cup final?? Mwacheni messi ni wadunia nyingine ambayo ronaldo haruhusiwe kuingia.
So torress ni bora kuliko messi??
 
Back
Top Bottom