Perpendicular
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,494
- 1,183
Usimfananishe Messi na Ujinga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lets assume wote ni the same age-wewe as a manager ungemnunua yupi?De Lima ni mshambuliaji mahiri aliyecheza na kuwa na mafanikio makubwa sana katika ligi mbalimbali na bora kabisa duniani akililetea Taifa lake heshima kubwa sana sawasawa la alivyofanya katika vilabu mbalimbali alikosukuma kandanda. CR7, mbali na kufanya vizuri akiwa England hajaacha kusukumiza mpira nyavuni akiwa na RMA na kwa bahati sana ametoa mchango mkubwa kwa Taifa lake akiwa mchezaji wa kawaida na pia akiwa nahodha. Hii imemfanya kuchaguliwa na kutunukiwa heshima kubwa ulaya na duniani kuonyesha ubora wake juu kabisa ya wachezaji wengine wakiwemo akina kichuya, tambwe n.k. Messi ameanza na probably atastaafu akiwa na Barca na soka lake muda wote linatazamwa sambamba klabu yake hiyo, so simply messi ni barca na barca ni messi tangu alivyoanza kuwa vibrant baada ya akina Gaucho kutoka kwenye timu hiyo. Bado hajafanikiwa sana kama hao wawili niliowataja na naamini ukiuliza deni kubwa alilonalo atataja ni la kutoibeba Argentina. Magwiji wengi wamefanya hivyo katika nchi zao. Samatta, Zidane, Gaucho, Maradona, Buffon, Maldini (Baba na Mtoto) and the list goes on.
Basically kwa nafasi zao ndani ya uwanja hawawezi kufanana kwa lolote kwa hiyo mchango ndo utawabeba na reflection ni mafanikio ya jumla.
Naweza sema tufanana mawazo kiongozi,, binafsi nashangaa wengi wanaompa messi credit hawana sababu zozote zenye mashiko zinazoonekana direct kua ni juu zaidi ya ronaldo,Mtu anaemuweka mmoja juu kati yao huyo ni mshabiki na siyo mtu wa mpira
ukitoa Messi na Ronaldo nani anaewakaribia kwa mafanikio waliyonayo ndani na nje ya mpira?? hapo ndio utajua kwamba hao jamaa wanaishi ktk dunia yao peke yao
kama yupo mnitag mkimuona
ujinga ni kujisifu una mbio bila kumsifia anaekukimbiza
binafsi nishaachaga kuwashindanisha hawa watu sababu sioni walichopishana....done
Naomba facts bro, nina shida na hizi sababu zinazofanya messi awe juuUsimfananishe Messi na Ujinga.
Naomba uwatofautisheKwa waliopo duniani Ronaldo ni zaidi. Mess si wa sayari hii ni mgeni. Fananisha wa duniani Pekee.
Angeisaidia na Argentina kushinda kombe la dunia au hata lile la copa america!Ronaldo ni bora xana,kwan Messi sio wa dunia hii maana hafananixhwi na mchezaji yeyote yule katika safu za Siku hizi