Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

De Lima ni mshambuliaji mahiri aliyecheza na kuwa na mafanikio makubwa sana katika ligi mbalimbali na bora kabisa duniani akililetea Taifa lake heshima kubwa sana sawasawa la alivyofanya katika vilabu mbalimbali alikosukuma kandanda. CR7, mbali na kufanya vizuri akiwa England hajaacha kusukumiza mpira nyavuni akiwa na RMA na kwa bahati sana ametoa mchango mkubwa kwa Taifa lake akiwa mchezaji wa kawaida na pia akiwa nahodha. Hii imemfanya kuchaguliwa na kutunukiwa heshima kubwa ulaya na duniani kuonyesha ubora wake juu kabisa ya wachezaji wengine wakiwemo akina kichuya, tambwe n.k. Messi ameanza na probably atastaafu akiwa na Barca na soka lake muda wote linatazamwa sambamba klabu yake hiyo, so simply messi ni barca na barca ni messi tangu alivyoanza kuwa vibrant baada ya akina Gaucho kutoka kwenye timu hiyo. Bado hajafanikiwa sana kama hao wawili niliowataja na naamini ukiuliza deni kubwa alilonalo atataja ni la kutoibeba Argentina. Magwiji wengi wamefanya hivyo katika nchi zao. Samatta, Zidane, Gaucho, Maradona, Buffon, Maldini (Baba na Mtoto) and the list goes on.
Basically kwa nafasi zao ndani ya uwanja hawawezi kufanana kwa lolote kwa hiyo mchango ndo utawabeba na reflection ni mafanikio ya jumla.
 
Lets assume wote ni the same age-wewe as a manager ungemnunua yupi?
 
Mtu anaemuweka mmoja juu kati yao huyo ni mshabiki na siyo mtu wa mpira

ukitoa Messi na Ronaldo nani anaewakaribia kwa mafanikio waliyonayo ndani na nje ya mpira?? hapo ndio utajua kwamba hao jamaa wanaishi ktk dunia yao peke yao

kama yupo mnitag mkimuona

ujinga ni kujisifu una mbio bila kumsifia anaekukimbiza

binafsi nishaachaga kuwashindanisha hawa watu sababu sioni walichopishana....done
 
Jibu si unalo au unauliza nn kwani mambo yako wazi ni Ronaldo ndo anatisha kwani kaisaidia timu yake ya taifa ya ureno kuchukua ubingwa na Club yake! Kwa mbali anafuatwa na messi ambaye kwa mda wote ameshindwa kuibeba timu yake ya taifa lakini kwenye Club yake juzi aliibeba timu yake baada ya kuitendea haki pasi ya mwenziee
 
Kwani messi kafanya jambo gani la kumfananisha na Ronaldo! kwanza kaisaidia timu yake kuingia nusu fainali na mwaka jana alikuwa jongoo kwa kuchukua UEFA na mwaka jana kaichangia timu yake ya ureno achukue ndoo!
 
Mtu anaemuweka mmoja juu kati yao huyo ni mshabiki na siyo mtu wa mpira

ukitoa Messi na Ronaldo nani anaewakaribia kwa mafanikio waliyonayo ndani na nje ya mpira?? hapo ndio utajua kwamba hao jamaa wanaishi ktk dunia yao peke yao

kama yupo mnitag mkimuona

ujinga ni kujisifu una mbio bila kumsifia anaekukimbiza

binafsi nishaachaga kuwashindanisha hawa watu sababu sioni walichopishana....done
Naweza sema tufanana mawazo kiongozi,, binafsi nashangaa wengi wanaompa messi credit hawana sababu zozote zenye mashiko zinazoonekana direct kua ni juu zaidi ya ronaldo,
 
upload_2017-4-25_12-34-23.png
 
Mess nikama samaki, uwezowake ni kuishi Ndani ya Majitu.Yaani kuchezea Barca tu, Messi njeya Barca ni sawa na Mavugo yaani hauna uhakika kama atafunga goli au atacheza vizuri,hasa akiwaArgentina.Yaani uwezowake niwakawaida sana.
Christian Ronaldo nikama Kambare, anaweza kuishi ndaniyamaji yaani RealMadrid na anaweza kuishi njeya maji yaani kwenye matope.
Ata akiwaTimu yataifa R7 ni Hatari, naningumu kumzuia .Ata timuyake ikiwa haichezi vizuri bado anabaki kuwahatari, waulize Juve walio watoa Barca kwenye mashindano ya Ulaya watakueleza tofauti yao.
Kama ikitokea Messi akiondoka Barca basi uo ndioutakua mwishowa umaarufu wake katika soka. maana Samaki hawezi ishi nje yamaji kamainavyo jidhirisha akiwa Argentina.
Ila Ronaldo amejidhihirisha alipoondoka Man U Amekua mzuri zaidi,kwamaana popote anapocheza yeyeni hatari.
 
Ronaldo ni bora xana,kwan Messi sio wa dunia hii maana hafananixhwi na mchezaji yeyote yule katika safu za Siku hizi
Angeisaidia na Argentina kushinda kombe la dunia au hata lile la copa america!
Messi ni mzuri ila uzuri wake pia unaongezwa na wachezaji wanaomzunguka, ronaldo ni monster pia!
Messi(talent) vs Ronaldo(hardwork).
 
Back
Top Bottom