Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

kuna kipindi cha television ya ufaransa kinaitwa telefoot kinakua kila siku ya jumapili katika tv yao inayo itwa TFI Logo_TF1.jpg
leo walikua wanazungumzia kuhusu kiwango cha messi kuna mtangazaji alimuuliza mwezake hivi huyu messi tunaweza kumlinganisha nani katiaka ulimwengu huu wa soka basi jamaa kamjibu kamwambia kwa dunia hii tuliyonayo saivi hakuna mchezaji yeyote ambaye yuko kwenye level hii. hao ni watu wanaojua wanao fuatilia masuala ya soka sio mimi na wee tunae copy na ku past sasa usije kumfananisha c.r na huyu mfalme wa soka anae uchezea mpira namna anavyotaka yeye na kuwatoka watu toka mido mpaka defender na kummaliza kipa lile goli la jana kocha wa juve hakupata usingizi na wiki hii yote hapati picha anajiuliza vipi wataweza kumkaba messi hata wasije akawadhuru wanataka kutengeneza formation ya anti messi katika final na hapo ndipo wanapo toa mwanya wa kupita kwa neymar na suarez .
 
kuna kipindi cha television ya ufaransa kinaitwa telefoot kinakua kila siku ya jumapili katika tv yao inayo itwa TFIView attachment 256094

dah sio mchezo
 
Saaanaa mnooo....
 
Cha ajabu na ubinafsi wake, hadi mwisho wa ligi. Messi ana assist 18 na Ronaldo assist 16. Kwa UCL, Messi ana assist 5, na Ronaldo anazo 4.

numbers for Messi with Barcelona: 23 titles, 77 Champions League goals, 58 goals this season, 20 goals in 23 career finals, four-time world player of the year, and all-time leading scorer for the club and Spanish league.

And if he scores against Juventus, he will become the first player to ever find the net in three Champions League finals.
 
Mwacheni andunje aitwe andunje na muacheni roboti ronaldo abaki kuwa ronaldo... Ni watu wanaocheza mpira tofaut kabisa kinachowafanya muwalinganishe ni idadi yao ya magoli, binafsi ningependa nimmiliki messi ktk timu yangu, na kumtazama pia,andunje is more talented than cr7, andunje anafanya mambo magumu yaonekane mepesi... Lakin haimaanish kuwa ronaldo no mchezaj mbovu, he is a real fighter anajitambua, anajua waz hana kipaji cha kuwekwa class moja na andunje, ila jitihada zake ndio zimemuweka hapo, kati ya ubishi unaonikera zaid hapa dunian ni wa messi vs cr7 na kiba vs pltnmz.. Ukimtazama zaid messi utagundua vingi vinavyojificha ndani ya ubongo wake

Note: wote ni binadamu wana mapungufu yao
 
Ni Messi, nasema ni Messi, kwangu mimi ni Messi,yaani hakuna kama Messi, hata Gaucho simuweki level ya Messi, nasema kwangu mimi ni Messi tuu, Messi!!!!!!!

Hhhmm... Huyo mtu uliyemtaja please juu ya please muache bure...
 
Ni Messi, nasema ni Messi, kwangu mimi ni Messi,yaani hakuna kama Messi, hata Gaucho simuweki level ya Messi, nasema kwangu mimi ni Messi tuu, Messi!!!!!!!

umeongea ukweli wote sina cha kuongeza mkuu maana uko sahihi
 
"It's not about who I like more between them. Every
time people ask me I tell them that you just can't
compare them. Ronaldo is more direct, is a pure
scorer. Messi scores a whole lot of goals but he
can also create a ton for others. If I was managing
a team, both of them would be very important but if
I had to choose only one, it would be Messi." :-
PELE
Messi or Ronaldo best player in the world? In the
world, I would say Ronaldo. Messi is from another
planet." - Turkish international Arda Turan
"Messi is God, as a person and even more as a
player. I knew him when he was a boy and I’ve
watched him grow. He deserves it all." - Samuel
Eto'o
"Although he may not be human, it’s good that
Messi still thinks he is." - Javier Mascherano
"They tell me that all men are equal in God’s eyes,
this player makes you seriously think about those
words." - Football commentator Ray Hudson
"Newton and Einstein had a certain level of autism -
I hope that, like them, Messi surpasses himself
every day and continues to give us his beautiful
brand of football." - Romario
"Messi is the Mozart of football." - Radomir Antic
"It is clear that Messi is on a level above all others.
Those who do not see that are blind." - Xavi
"There are three or four important things in life:
books, friends, women… and Messi." - Portuguese
writer Antonio Lobo Antunes
"Barca will never have a player like Messi again.
Messi’s greatness is present on and off the field of
play." - Barcelona president Sandro Rosell
"At this point I’m starting to believe that Messi is
tightly related to Clark Kent." - Israeli model Bar
Rafaeli
"Messi is class. There is him, and then there is the
rest. What he does is extraordinary." - Franck
Ribery
"We give him the ball and stand back and watch.
People often say to me they saw Pele and Maradona
play. In the future, I will be able to say I saw Messi
play." - Thiago Alcanatara
"He is always going forwards. He never passes the
ball backwards or sideways. He has only one idea,
to run towards the goal. So as a football fan, just
enjoy the show." - Zinedine Zidane
"He sees passes that most people can only see
whilst watching the game on TV, not ones that you
can normally see on the pitch." - Tata Martino
"For the world of football, Messi is a treasure
because he is role model for children around the
world… Messi will be the player to win the most
Ballons d’Or in history. He will win five, six, seven.
He is incomparable. He’s in a different league." -
Johan Cruyff
"I have played against Platini, Maradona, Cruyff and
played with George Best — a lot of big names, but
none of them has been able to do what Messi does.
Two years ago I said that the best player I played
against was Maradona and the best player I have
played with was Bestie. But I can now say I have
never seen a player as good as Messi. He’s in a
league of his own." - Former Tottenham star Gerry
Armstrong
"Diego [Maradona] filled us with emotions. But
between the cracks, without doubt, Messi is better
than Maradona." - Diego Simeone
"There is no doubt, you’re from another galaxy.
Thanks Leo." - Maxi Rodriguez
"Who is the Best Player in the World? Leo Messi.
Who is the Best Player Ever? Leo Messi." - Arsene
Wenger
"I have seen the player who will inherit my place in
Argentine football and his name is Messi. Messi is a
genius." - Diego Maradona
"I like Messi a lot, he’s a great player. Technically,
we’re practically at the same level." - Pele
"Messi does not need his right foot. He only uses
the left and he’s still the best in the world. Imagine
if he also used his right foot, Then we would have
serious problems." - Zlatan Ibrahimovic
"Fella’s a genius. Best ever by a distance in my life
time. Never really saw Pele… Souness, Gullit,
Venables and now Rooney agree Messi is the best
they have seen. He plays a game with which we are
not familiar." - Gary Lineker
"I played with Romario, Rivaldo, Ronaldo, Laudrup
and Stoichkov but Messi is the best I’ve seen" -
Former Barcelona and Chelsea star Alb
 
Paul Scholes says Lionel Messi is better than former teammate Cristiano Ronaldo

The former England and Manchester United midfielder came up against Messi on four occasions and places him ahead of former teammate Cristiano Ronaldo
Praise: Scholes reckons Messi is the best he's ever shared a pitch with

Paul Scholes says Barcelona star Lionel Messi is the best player he's ever shared a pitch with - placing him ahead of former teammate Cristiano Ronaldo.
The Argentine star, 27, will bid to claim his fourth Champions League winners' medal when Barca face Juventus in Berlin on Saturday night.
And Scholes, who came up against Messi on no fewer than four occasions, places Messi above a number of world class stars past and present.
In his Independent column, Scholes wrote: "I think about the great players with whom I have shared a pitch: Eric Cantona, Zinedine Zidane, Pirlo, Xavi, Cristiano Ronaldo – and the greatest of them all is Messi."
Snub: Scholes reckons Messi is better than Ronaldo

SOURCE;- Paul Scholes - News, views, gossip, pictures, video - Mirror Online
 
Messi alitamani sana afunge goli kwenye fainali na Juventus ili amzidi Ronaldo magoli, lakini ndo hivyo tena, Kaka ni Kaka tu huwezi kumpita kirahisi hata kama Messi amecheza mechi nyingi zaidi kuliko Ronaldo!
 
Ronaldo ameanza kucheza UCL kabla ya mesi na anamzidi karibu mechi zaidi ya kumi lakn wako sawa kweny record ya ufangaji bora wa mda wote UCL.
 
Ronaldo ameanza kucheza UCL kabla ya mesi na anamzidi karibu mechi zaidi ya kumi lakn wako sawa kweny record ya ufangaji bora wa mda wote UCL.

Hiyo ni UEFA, Je kwa kawaida kuanza soka kama soka nani ana magoli mengi zaidi na nani kaanza kucheza mpira kati ya Messi na Ronaldo!?
 
Back
Top Bottom