Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

Messi ni zaidi ya Ronald. Si mbinafsi, vile vile he is not after glory. He/Messi carries teamwork spirit, whenever he plays, which is unlike Cr7.
 
Hebu sikiliza Wachambuzi wengi wa soka duniani wanapo mchambua Messi,zile comments zao tu huwa ni nzito na wengi huonyesha kushangazwa na uwezo wa Messi!Ma coach wakubwa wengi wao wanakiri Jamaa si wa kawaida,Guardiola ni mtu aliyemlea Messi na kakaa kwa muda kidogo na soka la ujerumani,anaamini Messi waweza tu kunlinganisha na the Greatest akimaanisha ajina Pelle,Maradona,Gaucho nk..Level ya Cr7 ni akina Bale,Rooney,Diego costa,Rouben,Van Persie,Muller nk,...Messi anakabwa na watu 3,4 na anawatoka anatoa pass anatafuta chumba anarudishiwa ball na kutikisa nyavu ktk angle ambayo hutegenei!!uwezo huo na maajabu mengi anayo!Huwezi mlinganisha na mfungaji Penati na faulo na magoli ya kuvizia
 
Na La kufurahisha zaidi Mtoto mdogo wa Cr7 ni Shabiki mkubwa wa Messi!na baba wa mtoto amekiri hili siku ile ya kupewa tuzo.na video za ushahidi zipo!kwa mlioona baada ya kukiri hayo Cr7 akamwambia mwanae aende kwenye meza alokaa Messi akamwamkie dogo akafurahi akaenda kwa Messi wakasalimiana na ronaldo katamka'anakupenda sana na mara nyingi huangalia video zako'Huyu dogo jiulize kwanini hamshabikii baba yake?
 
debate iliyopo sasa ni nani mchezaji bora wa mda wote kati ya Messi, Maradona na Pele. Sasa Messi unamfananisha na nani? BBC wanamuita Magician, jamani huyu mchezaji burudani. Wengeraliwahi kusema ni kama mchezaji wa 'play station'
 
Ukweli mess yuko juu coz yupo Kwa ajili ya timu lakini CR ni mbinafsi

Cha ajabu na ubinafsi wake, hadi mwisho wa ligi. Messi ana assist 18 na Ronaldo assist 16. Kwa UCL, Messi ana assist 5, na Ronaldo anazo 4.
 
Messi si wa kumlinganisha na christian hata style ya uchezaji na improvision zao ni tafauti tena kibaya zaidi Cr7 anapocheza hasa ktk La liga anafikiria sana amshinde messi kwahiyo anatumia nguvu nyingi ili afunge goli zaidi amshinde messi Sasa Messi yeye huangaika kwa kila hali ili timu ishinde,ili wenzake wafunge na ikiwepo chance hata yeye afunge hapo ndipo penye tofauti yao nyingine kubwa!
 
Sante kwa maelezo bomba
 
Ni Messi, nasema ni Messi, kwangu mimi ni Messi,yaani hakuna kama Messi, hata Gaucho simuweki level ya Messi, nasema kwangu mimi ni Messi tuu, Messi!!!!!!!
 
Messi si wa kumlinganisha na christian hata style ya uchezaji na improvision zao ni tafauti tena kibaya zaidi Cr7 anapocheza hasa ktk La liga anafikiria sana amshinde messi kwahiyo anatumia nguvu nyingi ili afunge goli zaidi amshinde messi Sasa Messi yeye huangaika kwa kila hali ili timu ishinde,ili wenzake wafunge na ikiwepo chance hata yeye afunge hapo ndipo penye tofauti yao nyingine kubwa!

Kweli mkuu....!
 
Asante sana , pia kocha wa asernal bwana wenga alisema ukiangalia mpira anaocheza mess ni kama mpira wa kwenye kompruta maana anakuwa kama hana mfupa ili muuliza swali aschoke sn amuuliza pepo gadiola ama alex fagason wanayo majib ya huyo mdudu Mess ni habari nyingine kabsa

Hata huyu morinho anamuogopa messi ndo maana alikimbia spain
 
Kauli ya mwisho ya Morinho the special one wiki kama 2 zilizopita amesema ikiwa Nessi mfabo aondoke katika ulimwengu wa soka soka la dunia litapoteza mvuto na hamasa kwa kiwango kikubwa,sikumfuatilia sana sababu ya kusema hayo lakini nilihisi alikua akiongelea umahiri wa Lionel Messi
 
Back
Top Bottom