mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Cristiano ronaldo level zake ni neymar jr, if u'r sound mind u can compare messi from cr7, coz messi is a magic person. Me ntamuelewa mtu anaesema cr7 vs neymar jr.
Kwa kipimo kipi? Umewapimaje? Nakupongeza kwa kutuonyesha hisia zako ambazo hakuna awezaye kukubishia maana huo ndio ukweli wa hisia zako! Lakini ukubali pia kuwa watu wengine nao wana hisia zao ambazo zinaweza kuwa tofauti na za kwako! Hivyo hisia za watu haziwezi kutoa jibu la swali la uzi huu kuwa ni nani zaidi kati ya messi na Ronaldo maana kila mtu ana hisia tofauti na mwenzake! Kwa maana nyingine watu hawatoi vigezo vinavyopimika objectively ili kuwezesha kujibu swali! Watu kama gasgas wanaojikita kujaribu kujibu swali la uzi ni wachache sana humu ndani! Waliowengi badala ya kujibu swali kwa vigezo vilivyo-objective, wanaonesha tu mapenzi binafsi kwa wachezaji husika.