Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

Cristiano ronaldo level zake ni neymar jr, if u'r sound mind u can compare messi from cr7, coz messi is a magic person. Me ntamuelewa mtu anaesema cr7 vs neymar jr.

Kwa kipimo kipi? Umewapimaje? Nakupongeza kwa kutuonyesha hisia zako ambazo hakuna awezaye kukubishia maana huo ndio ukweli wa hisia zako! Lakini ukubali pia kuwa watu wengine nao wana hisia zao ambazo zinaweza kuwa tofauti na za kwako! Hivyo hisia za watu haziwezi kutoa jibu la swali la uzi huu kuwa ni nani zaidi kati ya messi na Ronaldo maana kila mtu ana hisia tofauti na mwenzake! Kwa maana nyingine watu hawatoi vigezo vinavyopimika objectively ili kuwezesha kujibu swali! Watu kama gasgas wanaojikita kujaribu kujibu swali la uzi ni wachache sana humu ndani! Waliowengi badala ya kujibu swali kwa vigezo vilivyo-objective, wanaonesha tu mapenzi binafsi kwa wachezaji husika.
 
Ronaldo hawezi shindana na messi...ashindane na akina Bale,Teves,Van persi,Diego costa,Torres,Muller nk,watu wazito katika soka duniani wote wanamkubali messi hata kwa kuwaangalia tu on the pitch..Pep guardiola anaamini messi anaweza linganishwa na ma Greatest yaani akina Pelle na Diego maradonna...
kweli mzee..salute kwako
messi ndio messiah wa football
 
jamani Messi ni shidaaa, yaani anavyocheza, anavyo assist na anavyofunga ni very skilled, Makocha wanaosuka ukuta Mgumu kama Diego simeoni na Jose mourinho kwa nyakati tofauti wanakiri kuwa ni ngumu sana na inagharimu kumdhibiti huyu mtoto...!!!! alafu mpole mnyenyekevu na mkimya, yaani kiukweli aliumbwa ili atufurahishe wapenzi wa mpira....!!!!!

lionel-messi-skill.jpg

maxresdefault.jpg

Alafu wanamfananisha na mpaka poda penado
 
andika M kwa messiiiiiiiiiiiiiiiii andika R kwa ronaldooooooooooo toa sababu kwa nn ni bora kuliko mwingine.
 
andika M kwa messiiiiiiiiiiiiiiiii andika R kwa ronaldooooooooooo toa sababu kwa nn ni bora kuliko mwingine.
mbona mada ipo humu tayari? si ungeipitia hiyo tu ungepata majibu ya tafiti yako
 
goli la messi fainali ya copa del rey jumamosi limethibitisha kaja duniani sababu ya soka tu sasa usimfananishe na mpaka poda 7bu messi ni levo nyingine
 
Hivi bado kuna wajinga ambao wanamfananisha Messi na Chr Roaldo?kitu kipo wazi au ni vipofu?Ktk comments nyingi duniani kati ya hao wawili kuna mmoja ambae anasumbua akili za watu na kufananishwa na mtu kutoka sayari ingine!kwa skills zake za ajabu ktk soka!!lakini bado mburula anatokea anauliza swali ambalo jibu lake lipo wazi!
 
sema nani kaka.
 
Mbona ipo simple tu kutaka kujua hili?tafuta mechi yeyote ya Real madrid ambayo Cr7 yumo,muangalie kila anapopata mpira nini anafanya na mpira huo na mwisho product yake inakua nini,halafu fuatilia mechi ya barca ambayo messi yumo nae angalia pindi apatapo mpira vitu gani anafanya jibu unalipata in just single match!
 
Kuna mwanasoka alikuwa anawachambua akasema bahati mbaya sana cr kazaliwa kipindi cha mess so hawezi kuwa bora mbele ya mes
 
Kuna mwanasoka alikuwa anawachambua akasema bahati mbaya sana cr kazaliwa kipindi cha mess so hawezi kuwa bora mbele ya mes

kura yako kwa messi kaka,kwa hiyo afadhali ronaldo angezaliwa kipindi cha gaucho au zidane au pele?
 
mjukuum nakumbuja ni joy burton wa qpr. wakati wa uefa semi final lile goak la pili alilokata chenga boateng akaanguka na messi kutikisa nyavu alisema; ronaldo is good in his generation but messi is from other planet. messi ni kitu ingine
 
kaka hiyo pekee ndiyo sababu inayokushawishi kusema messi ni zaidi ya ronaldo au kuna mengine?
 
mjukuum nakumbuja ni joy burton wa qpr. wakati wa uefa semi final lile goak la pili alilokata chenga boateng akaanguka na messi kutikisa nyavu alisema; ronaldo is good in his generation but messi is from other planet. messi ni kitu ingine

Asante sana , pia kocha wa asernal bwana wenga alisema ukiangalia mpira anaocheza mess ni kama mpira wa kwenye kompruta maana anakuwa kama hana mfupa ili muuliza swali aschoke sn amuuliza pepo gadiola ama alex fagason wanayo majib ya huyo mdudu Mess ni habari nyingine kabsa
 
Messi akitoweka duniani ndo Ronaldo atachukua nafasi.
 
Back
Top Bottom