Hiyo michezo watanzania hatunaga...labda urudi kwenu mombasa mjombaUshamaliza kujitekenya au bado unaendelea?
Aigee tena na hii celebration ya KifalmeLeo mjomba pale bernabeu kama kafunikwa ivii....lakini huyu mzee ronaldo lazima akalipe kisasi pale NOU CAMP maana ndo anapapendaga palee.
Was that magical???Aigee tena na hii celebration ya Kifalme
kuna kitu kinaitwa ball to hand na hand to ball sijui ka unajua hilohaina shida ila hata refa naye alihusika kwenye ushindi wao. kama gori la mwisho mpira ulikuwa umetoka, mpaka messi alijistukia. pia aliwanyima penalti kama mbili sishangai kubebwa na refa.
Nakumbuka hata mechi ya mwisho kweny lig 2016/2017 waliposhinda barca goli la tatu 90+5 kuna watu walilamika kua refa alichelewa kumaliza mpira wakat sergio roberto aliwakusanya tokea golin kwake wakashindwa kumzuia mpaka mess akaja kuwafunga.kuna kitu kinaitwa ball to hand na hand to ball sijui ka unajua hilo
asa mtu kaweka mikono nyuma tena kaficha mpira umemfata unataka refa atoe penalty
na kuhusu ule mpira kutoka kaz sio yako wala ya refa wa kati ilikua kaz ya mshika kibendera
N ile game ili balance mwanzo mwisho
unless otherwise hujui mpira
GAUCHO mambo mengine weweHatuwezi mfananisha gaucho na Ronaldo & mess never. Gaucho n wakufananishwa na Zidane japo kuwa Zinedine n extraordinary kabsaa.
kweli mi siujui mpira naomba niereweshekuna kitu kinaitwa ball to hand na hand to ball sijui ka unajua hilo
asa mtu kaweka mikono nyuma tena kaficha mpira umemfata unataka refa atoe penalty
na kuhusu ule mpira kutoka kaz sio yako wala ya refa wa kati ilikua kaz ya mshika kibendera
N ile game ili balance mwanzo mwisho
unless otherwise hujui mpira
asa ka hujui anza kufatilia basketballkweli mi siujui mpira naomba niereweshe
Ana nini cha ajabu?
GAUCHO mambo mengine wewe
Huo mkadala kwa takwimu hizo umefuga wewe na vibibi vya kijijini kwenuMjadala ulishafungwa, 1. Dinho 2. CR7 3. Messi 4. Waliobaki( zidane, platini, maradona, cryuff)
Unamjua Xavi Hernandez au unamsikia????Kivipi? Unamsifia without any evidence!! kweli!!! Gaucho level moja na XAVI INIESTA OKOCHA hawa ndio wa level yake
Unamjua Xavi Hernandez au unamsikia????