Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

Leo mjomba pale bernabeu kama kafunikwa ivii....lakini huyu mzee ronaldo lazima akalipe kisasi pale NOU CAMP maana ndo anapapendaga palee.
Aigee tena na hii celebration ya Kifalme
ecb6aa588b0aa5e2999acf9cc8b55acf.jpg
 
haina shida ila hata refa naye alihusika kwenye ushindi wao. kama gori la mwisho mpira ulikuwa umetoka, mpaka messi alijistukia. pia aliwanyima penalti kama mbili sishangai kubebwa na refa.
 
haina shida ila hata refa naye alihusika kwenye ushindi wao. kama gori la mwisho mpira ulikuwa umetoka, mpaka messi alijistukia. pia aliwanyima penalti kama mbili sishangai kubebwa na refa.
kuna kitu kinaitwa ball to hand na hand to ball sijui ka unajua hilo

asa mtu kaweka mikono nyuma tena kaficha mpira umemfata unataka refa atoe penalty

na kuhusu ule mpira kutoka kaz sio yako wala ya refa wa kati ilikua kaz ya mshika kibendera

N ile game ili balance mwanzo mwisho

unless otherwise hujui mpira
 
Nakumbuka hata mechi ya mwisho kweny lig 2016/2017 waliposhinda barca goli la tatu 90+5 kuna watu walilamika kua refa alichelewa kumaliza mpira wakat sergio roberto aliwakusanya tokea golin kwake wakashindwa kumzuia mpaka mess akaja kuwafunga.
 
kuna kitu kinaitwa ball to hand na hand to ball sijui ka unajua hilo

asa mtu kaweka mikono nyuma tena kaficha mpira umemfata unataka refa atoe penalty

na kuhusu ule mpira kutoka kaz sio yako wala ya refa wa kati ilikua kaz ya mshika kibendera

N ile game ili balance mwanzo mwisho

unless otherwise hujui mpira
kweli mi siujui mpira naomba niereweshe
 
kweli mi siujui mpira naomba niereweshe
asa ka hujui anza kufatilia basketball

sjawai kua mwalimu

ila naona basketball inakufaa maana mtu anadaka makusud mpira unaoingia wavuni refa anaweka penalty unaona anabeba
 
Ana nini cha ajabu?

Mkuu usipate tabu kubishana na watu wachache wanao muona gaucho bora zaidi ya KING,,, usipate tabu kabisa! Ni hivi...muombe statistics, records na mazaga zaga yote then mwambie akuonyeshe top 10 alipo huyo gaucho. I know that hatokuletea ushahidi wowote bali wataendelea kumsifia tu,,, so wazoee tu!
 
Huwezi kumlinganisha, Mfalme wa Mpira wa Miguu Duniani(Messi10) na Mviziaji wa Mpira duniani (fake ronaldo). Hata wanaompa tuzo ya Mpira wa dhahabu (ballon d'or) bora wawe wanaibadiri kwanza jina na kuuita balloon d'joke badala ya bollon d'or.
37b1e2d0af3faace0177b826f12e3e72.jpg
 
Back
Top Bottom