Umetoa hoja ,nikakujibu kila hoja yako ,toa fact kupinga hizo hoja zangi sio unaleta ubishi usio na maana,kama humepndi Ronaldo sema humpendi kuliko unashindwa kabisa kutoa hoja ya maana.Halafu mdahalo ni Messi na Ronaldo wewe unazungumza habari ya Del Piero
mi nashangaa sana watu wanapomlinganisha Ronaldo na Messi, kwanza kabla hatujaenda mbali hivi ushaona Mesi anavozingwa na kuwasasambua mabeki kama 4 au 5 hv,the guy is talented, Ronaldo huwa wala hakabwi kihivyo. Messi is another level bana jamani, mumpime na wakina de lima angalau au Zinaden hivi, au hata gaucho enzi zake walau
Sasa mbona hueleweki wewe unatoa CV then unashindwa kuitetea? Kama issue ni kubeba WC hata Messi so far hajachukua World Cup so kutokana na vigezo vya kuchukua WC hata kina Kleberson,Arbeloa,Luca Toni ni bora kuliko Messi na RonaldoKaka acha maneno weka CV tulinganishe... Ronaldo ni sawa na Canavaro tena canavaro nae ana world cup anampita ronaldo maana uchezaji bora wa dunia anao na world cup gold medal juuuu... Ronaldo bado sana.. Na kama ulikua ujui world cup ya 2014 inabaki south america na messi anakamata glory hiyo hata kama haters hamtaki
Lazima messi akabwe na wengi kwakuwa passi zote za barca huwa zinaelekezwa kwake akamalizie. Labda kama messi yupo mbali ndo mtu mwingine anaweza ku attempt kufunga. Madrid kuna uchoyo Wa passi kwa kila mchezaji na ndo maana wafungaji ni wengi tu. Nadhani CR7 ni zaidi ya messi hasa ukiangalia mazingira ya uchezaji ya timu yake ukilinganisha na barca na messi.
Gang Chomba, kwa kipindi cha miaka 5 Barca wako kwenye peak duniani,hiki ni mojawapo ya vikosi bora ambavyo vimetokea Rijkard aliikuta Barca ikiwa hoi akaipandisha then Pep Guardiola akaendeleza kuipeleka mbele.Tangu Messi ameanza kuchezea Barca timu haijawahi kuwa kibonde
mi nashangaa sana watu wanapomlinganisha Ronaldo na Messi, kwanza kabla hatujaenda mbali hivi ushaona Mesi anavozingwa na kuwasasambua mabeki kama 4 au 5 hv,the guy is talented, Ronaldo huwa wala hakabwi kihivyo. Messi is another level bana jamani, mumpime na wakina de lima angalau au Zinaden hivi, au hata gaucho enzi zake walau
Angalia data zako vizuri.....Kusema kweli messi ni sayari nyingine, ronaldo hamfikii hata del piero enzi zake...
Del piero play for 19 season with juventus na hajawai kupata redcard..
A champions league winner, WORD CUP WINNER 2006, finalist of uero 2000 with a bronze medal, europa league winner with juventus, YOUTH world cup winner with italy 1995,,, a most paid footballer in year 2000,
Amepata standing oviations in santiago barnebeu from madrid fans in 2008, dunian ni wachezaji wawili tu waliopata hiyo heshima barnebeu del piero na ronaldinho, akaipata tena standing oviations old trafold in 1996 kwenye champions league na late 2009 kwenye neville fare way match, amepata standing oviations in dortmund 96 wakati huo dortmund ni bingwa mtetezi,, bila kusahau akaja kuwaua wajeruman hapo hapo dortmund katika signal iduna park kwenye world cup semi finals 2006 kwa goli tamu late..
Sasa ronaldo hata del piero hamzidi tutamlinganisha vipi na messii
Monday's newspapers carried all the statistics you could ever wish to know about a remarkable career. In 19 years, Del Piero has played 704 games for Juventus, enjoying a total of 48,785 minutes on the pitch. He has scored 289 goals, hit the woodwork 68 times and missed 12 penalties. He has won 387 games, drawn 197 and lost 120. He has been shown 50 yellow cards, and just two red.
'lionel messi is all talent, while christiano ronaldo is the product of much training' - zlatan ibrahimovic.
Mimi nawapenda wote na nita declare interest coz ronaldo used to play for man utd so he would always have a special place in my heart as a former utd player however messi as an all round player is slightly better, the way he runs with the ball the way he dribbles the way he finds space in between defenders i mean i have never seen anyone like him. I hope ronaldo gets his luck and wins Worlds footballer of the year
Hapa ni sawa comparing Ferrari na Porsche....kwanza Ronaldo ni mchezaji ghali sana duniani akiwa ameuzwa toka man u kwa mkwanja mnyamwezi mil 131....
wote wameshachukua kiatu cha uchezaji bora wa FIFA....
Tukianza na finishing kwa kutumia maguu....Messi ni mkali wa kumalizia hasa kwa guu lake ma mavi na mara nyingi amekuwa akishambulia tokea upande wa kulia nafasi ambayo alianza kuitumia tangu pep achukue timu...mara nyingi messi umaliziaji wake hauna makosa hata chembe na hasa timu ikiwa ina shine naweza kumpa rate ya 9/10..
Lakini wakai messi ni mtumiaji mzuri wa akili analikaribia lango Ronaldo yeye ni mtumiaji wa nguvu sana na ni mmaliziaji mzuri wa guu lake la kulia na kwa matumizi yake ya nguvu amekuwa si mfungaji mmaliziaji mzuri na nampa rate ya 8/10
Umaliziaji kwa kichwa...
Messi yawezekana akawa ni mbovu kinoma noma katika umaziliaji kwa kichwa na mpoja ya magoli yake bora ambayo alibahatisha kumalizia kwa kichwa ni lile la final na man u nampa rate ya 6/10
Ronaldo ni mkali wa vichwa na haogopi kutia kichwa na hufunga kwa kichwa hata kwa umbali mrefu na ukizingatia ni mtumiaji mzuri wa nguvu..nampa 8/10(kumbuka kuna wakali wa vichwa kama patrick kluivet ambao wana rate ya 10/10 na yazidu zidane mwenye rate ya 9/10)
Kwenye free-kicks...
wote ni wakali wamipira mfu messi kama kawaida yake anatumia akili sana kwenye upigaji wa mipira mfu na ana kawaida ya kupiga kwenye nyavu ndogo mfano mzuri angalia el-classico ya juzi....nampa messi 8/10
Ronaldo ni mkali wa powerfull freekicks na amekuwa mkali tangu alipokuwa man u na hata real madrid hapa ronaldo nampa rate ya 9/10
Dribbling na kontrol
Messi ni guru wa ku dribble hapana shaka kwa hili ni mkali wa kukimbia na mpira uku akikatiza kati kati ya misiutu ya mabeki nampa 10/10
Ronaldo ni mkali lakini sio kivileeeee yeye mar nyingi anatumia ile chenga ya tangulia twende na kukimbiza na ana luzi controll sana anapokuwa yupo katika eneo la hatari nampa 9/10
Skills na teknic
Messi ni magic wa skill japo hajamfikia dinho umaarufu wa skills zake ni kwamba huwa zinaleta madhara kwenye timu pinzani nampa 10/10 unlike ronaldo ambae ni show man anapiga skills nyuma ya mstari wa nusu uwanja ambapo haendi popote ni mzuri kumuangalia lakini hana impact kwa timu kwa hizo skills zake...nampa 9/10
team play
messi amnekuwa maarufu hasa akiwa na viungo bora kabisa kwa kipindi hiki xavi na iniesta kombinenga hii huwa ni ya kuogopewa na ndio maana watu wengi wanasema messi si bora kwa sababu anacheza na watu kama hao..nampa 9/10
ronaldo kama kawaida ni selfish anjulikana hivyo na mara nyingi amekuwa hata akipigiwa boo na mashabiki bernabeu nampa 6/10
phsical
messi ni kadogo kadogo hakana nguvu kivilee na kama mnavyojua alizaliwa akiwa njiti..ni mzuri sana ukiwa nae ana kwa ana...ndio maana defenders always wanambwaga chini..nampa 7/10
Ronaldo ni fiziki anaonekana ni mtu anaenyanyua vitu vizito na kula vizuri na inamsaidia kupiga mprikwa kwa mbali nampa 9/10
kitakwimu tangu ronaldo aende real 2009
Messi
2009-10
Games: 64
Goals: 49
Assists: 11
2010-11
Games: 61
Goals: 51
Assists: 22
2011-12
Games: 68
Goals: 74
Assists: 27
Ronaldo
2009-10
Games: 39
Goals: 33
Assists: 7
2010-11
Games: 65
Goals: 56
Assists: 16
2011-12
Games: 73
Goals: 77
Assists: 16
hitimisho
messi ni mkali tena kwa kila game iwe ngumu au laini..messi hakabiki anabadilika badilika anaweza kucheza kati kama namba 8 anaweza kurudi mpaka nyuma anachukua mpira na kusambaza kwa winga na mido wa kati na anaweza pia kukimbia na mpira toka nyuma mpak akafunga..lakini ronaldo ni mkali wa mechi zake..zikija meschi muhimu haonekani....
jumla
messi 69/70
ronaldo 68/70
Safi sana ,hii ndio raha ya JF ukileta uongo watu wanakuumbua