MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,410
- 8,184
Umetoa hoja ,nikakujibu kila hoja yako ,toa fact kupinga hizo hoja zangi sio unaleta ubishi usio na maana,kama humepndi Ronaldo sema humpendi kuliko unashindwa kabisa kutoa hoja ya maana.Halafu mdahalo ni Messi na Ronaldo wewe unazungumza habari ya Del Piero
Kaka acha maneno weka CV tulinganishe... Ronaldo ni sawa na Canavaro tena canavaro nae ana world cup anampita ronaldo maana uchezaji bora wa dunia anao na world cup gold medal juuuu... Ronaldo bado sana.. Na kama ulikua ujui world cup ya 2014 inabaki south america na messi anakamata glory hiyo hata kama haters hamtaki