Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

Ronaldo ni winga,mesi ni mshambuliaji,hapo sasa angalia majukumu yao sanjali na umbali wa kila mmoja kukimbia hadi kufunga,utapata jibu nani mkali zaid ya mwenzake
 
Hivi huyo winga na mshambuliaji nani ana assist nyingi kuliko mwenzake. Kama magoli wanachuana angalia mwenye assist nyingi ndo utajua.
 
Ronaldo ni winga,mesi ni mshambuliaji,hapo sasa angalia majukumu yao sanjali na umbali wa kila mmoja kukimbia hadi kufunga,utapata jibu nani mkali zaid ya mwenzake

Kwa hyo nani ameassist kuliko mwenzake?? tehhh huwezi furukuta hapa ukienda sijui assist kufunga bado messi yuko.juu
 
Messi anakimbia umbali kias gan hadi aje kufunga au kuassist??na unajua kuwa xavi na iniesta akipotea na messi nae kapotea kama ilivyo sasa
 
that point man na ndio maana Mess ataki kuhama la liga kwa kutegemea xiav na iniestar ukiangalia mess anaubinafsi kwenye nafasi za watu maana alikuwepo
ETOO alikuwa mfungaji mzuri lakin mess kafanya kaonekana mbovu then ibrahim cadabra nae ivyoivyo
 
Kwa hyo messi alifanya vzuri world cup kwa sababu ya iniesta na xavi.. Acheni uchuro na data za kipuuzi

pointi ya msingi hapa chukueni maisha yote ya soka ya ronaldo kuanzia portugal international epl had la liga Hadi uefa.. Then compare na maisha ya soka ya messi kuanzia argentina hadi la liga hadi uefa

jumlishen hzo assist
jumlishen hayo magoli
jumlishen hizo tuzo sijui

then conclude
over.

Mkianza ubaguzi ktk rekodi na mimi nitasema hivi RONALDO ANATUMIA MIGUU YOTE LAKINI MESSI ANATUMIA KUSHOTO NA ANA REKODI KUBWA

suala la kuhama ligi si jambo la lazima........... Na syo kipimo cha uchezaji bora
 
Nafikiri unakumbuka maradona alisema messi hakustahili kuwa mchezaji bora wa kombe la dunia,na yule ni muargentina mwenzake,sasa sijui ana muonea wivu??pili hebu nitajie wachezaji wa kiwango cha juu walioko timu ya taifa ya ureno na ronaldo afu ulinganishe na messi...Tatu,kwa nn messi alikuwa hawiki akiwa na timu ya taifa katika miaka michache iliyopita ukilinganisha na akiwa barca ya kipindi hiko alipokuwa anawika??nne bado swala lako la ufungaji wa magoli na assist litambeba mtu amabaye ili afanye matukio hayo huwa hakimbii umbali wa mita 25,wakati huyu mwingne anakimbia zaidi ya mita 70 ndio akafanye hilo tukio lakufunga au kutoa pasi ya goli,kwa hiyo acha ushabiki usiyo na tija angalia ugumu wa kazi ukilinganisha na matokeo yake,unaweza angalia hapa,wakati argentina sasa hivi ikiwa na wachezaji wazuri sana ndipo messi anaonekana kama yupo juu,huku kwingine wakati xavi na iniesta wakiwa wameanza kuchoka messi anaonekana anashuka kiwango,...sasa angalia huyu mwingine,toka ameanza kucheza kila siku na katika mazingira yoyote anaonekana anazidi kuwa bora ,hata kama wale waliokuwa wanamu-assist wameondoka au wengine kuhama..
 
Kwani huyo maradona ni Mungu wa soka?? si alipewa team aifunfishe akaborongaaaa 2010

Kwani aliyekuambia maradona na messi wanapendana nani?? maradona wivu tu unamwumiza.... Coz yapo mambo ambyo messi ameyafanya maradona ameyafanya na yapo aliyofanya maradona na messi hajayafanya

haimaanishi yy kusema messi hakistahili ndo uchukulie msemo.wake.kama umetoka.mbinguni. Mpira sote tumetizama. Messi alistahili

messi ni bora kuliko ronaldo kwa kuangalia performance zao kwa jumla ktk maisha yao yote ya soka bila kujali amecheza league ngapi.. Kwa kigezo chochote mtakachotumia

iwe magoli. Tuzo. Makombe. Assists. Hat trick n.k.. Bado ronaldo ni nothng kwa messi

messi ni mhimili mkubwa ktk team ya barcelona hata kocha alikiri week iliyopita... Messi akiwa uwanjan wachezaj wengine wanakuwa na matumaini makubwa ya ushindi hali kadhalika ktk team ya taifa

nyie mnasema anasaidiwa na akina xavi sijui.. Kwa hyo mlitaka uwanjani acheze peke yake??

hivi team gani yenye wachezaji ghari kuliko real madrid??

Team gan yenye viungo wengi ghari kuliko madrid???
 
Ronaldo yupo vizuri tena sana ila alizaliwa ni kipindi kibaya, Messi ni shidaaa...
 
Kwa hyo messi alifanya vzuri world cup kwa sababu ya iniesta na xavi.. Acheni uchuro na data za kipuuzi

pointi ya msingi hapa chukueni maisha yote ya soka ya ronaldo kuanzia portugal international epl had la liga Hadi uefa.. Then compare na maisha ya soka ya messi kuanzia argentina hadi la liga hadi uefa

jumlishen hzo assist
jumlishen hayo magoli
jumlishen hizo tuzo sijui

then conclude
over.

Mkianza ubaguzi ktk rekodi na mimi nitasema hivi RONALDO ANATUMIA MIGUU YOTE LAKINI MESSI ANATUMIA KUSHOTO NA ANA REKODI KUBWA

suala la kuhama ligi si jambo la lazima........... Na syo kipimo cha uchezaji bora

hapo pekundu, ndio patamaliza mzozo. Mwenye link aweke kukata ubishi....pamoja na messi kuwa mkali, ila kwa sasa cr7 yupo onfire kinoumar!
 
that point man na ndio maana Mess ataki kuhama la liga kwa kutegemea xiav na iniestar ukiangalia mess anaubinafsi kwenye nafasi za watu maana alikuwepo
ETOO alikuwa mfungaji mzuri lakin mess kafanya kaonekana mbovu then ibrahim cadabra nae ivyoivyo

Mkuu usijichanganye, jaribu kufuatilia ndani ya miaka mitano iliyopita uone anaeongoza kwa assist ndani ya barcelona ni nani. Kama hawezi kufunga bila akina iniesta asingekua nying assist nyingi kuliko wao. Ndani ya club yake kwa mda mrefu amekua akiongoza kwa magoli na kwa assist. Tena kwenye assist alikua akikimbizana na akina Di maria na Ozil na siyo hao uliowataja.
 
Kwani huyo maradona ni Mungu wa soka?? si alipewa team aifunfishe akaborongaaaa 2010

Kwani aliyekuambia maradona na messi wanapendana nani?? maradona wivu tu unamwumiza.... Coz yapo mambo ambyo messi ameyafanya maradona ameyafanya na yapo aliyofanya maradona na messi hajayafanya

haimaanishi yy kusema messi hakistahili ndo uchukulie msemo.wake.kama umetoka.mbinguni. Mpira sote tumetizama. Messi alistahili

messi ni bora kuliko ronaldo kwa kuangalia performance zao kwa jumla ktk maisha yao yote ya soka bila kujali amecheza league ngapi.. Kwa kigezo chochote mtakachotumia

iwe magoli. Tuzo. Makombe. Assists. Hat trick n.k.. Bado ronaldo ni nothng kwa messi

messi ni mhimili mkubwa ktk team ya barcelona hata kocha alikiri week iliyopita... Messi akiwa uwanjan wachezaj wengine wanakuwa na matumaini makubwa ya ushindi hali kadhalika ktk team ya taifa

nyie mnasema anasaidiwa na akina xavi sijui.. Kwa hyo mlitaka uwanjani acheze peke yake??

hivi team gani yenye wachezaji ghari kuliko real madrid??

Team gan yenye viungo wengi ghari kuliko madrid???
Ni kweli maradona alipewa timu na hakufanya vizuri na wakati huo messi pia alikuwepo timu ya taifa nafikiri unakumbuka hili,na wakti huo messi alikuwa anaonekana mkali akiwa na barca na kumbuka kipindi hiko spain ilikuwa hot na ikabeba makombe yote waliyoshiriki na waliochangia kwa hayo mafanikio ya spain wengi walitoka barca,xavi na iniesta wakiwa ni tunu kuu..unasema tusichukulie maneno ya maradona kama nikutoka mbinguni,ok ni sawa,kwa hiyo unavyomnukuu kocha wake kuwa messi ni bora akiwa uwanjani na ukweli unaonekana kuwa zisipokuwepo hizi machine mbili iniesta na xavi messi anapotezwa ana timu haina matumaini yakushinda na mara zote imekuwa inakula kipigo,huyu kocha tumuite anatoka kuzimu maana anazungumza jambo ambalo halipo na halionekani,..yah,ni kweli ukimlinganisha Ronaldo na messi kwa idadi ya vikombe messi atashinda simply iko hivyo,..unataka kuniambia hukumbuki kashfa ya matokeo ya upigaji kura mwaka juzi FIFA walichakachua,amakocha na makapten wakalalamika kuwa kwenye mtandao wa FIFA wanaonekana wamepiga kura kwa mtu ambaye hakuwa chaguo lao la kwanza wala la pili,au umesahau kauli ya blatter juu ya watu hawa wawili,kwa nini usiseme kuwa nao wana wivu na ronaldo???messi ana miaka michache kuliko ronaldo,angalia sasa timu ya taifa ana wachezaji wazuri ndipo anapofanya vizuri kwenye club anajikongoja wakat mwenzie ni moto ule ule wakati wowote..
 
Sepp Blatter revealed that he doesn't think that Leo Messi deserved to win the World Cup's Golden Ball.
 
10689747_797185573677247_5569564305538717695_n.png
 
Mkuu usijichanganye, jaribu kufuatilia ndani ya miaka mitano iliyopita uone anaeongoza kwa assist ndani ya barcelona ni nani. Kama hawezi kufunga bila akina iniesta asingekua nying assist nyingi kuliko wao. Ndani ya club yake kwa mda mrefu amekua akiongoza kwa magoli na kwa assist. Tena kwenye assist alikua akikimbizana na akina Di maria na Ozil na siyo hao uliowataja.

Usiangalie miaka mitano iliyopita angalia miaka yao yote ya soka

over
 
Maamuzi hayakufanywa na mtu mmoja.... Messi alistahili

maoni ya sepp blatter yasikutishe

Hiyo nimekupa mfano tu wa kile tulichokizungumza hapo juu,sasa na yeye blater sijui ameanza kumuonea wivu messi kama unavyosema wanaompinga wanamuonea wivu
 
Ni kweli maradona alipewa timu na hakufanya vizuri na wakati huo messi pia alikuwepo timu ya taifa nafikiri unakumbuka hili,na wakti huo messi alikuwa anaonekana mkali akiwa na barca na kumbuka kipindi hiko spain ilikuwa hot na ikabeba makombe yote waliyoshiriki na waliochangia kwa hayo mafanikio ya spain wengi walitoka barca,xavi na iniesta wakiwa ni tunu kuu..unasema tusichukulie maneno ya maradona kama nikutoka mbinguni,ok ni sawa,kwa hiyo unavyomnukuu kocha wake kuwa messi ni bora akiwa uwanjani na ukweli unaonekana kuwa zisipokuwepo hizi machine mbili iniesta na xavi messi anapotezwa ana timu haina matumaini yakushinda na mara zote imekuwa inakula kipigo,huyu kocha tumuite anatoka kuzimu maana anazungumza jambo ambalo halipo na halionekani,..yah,ni kweli ukimlinganisha Ronaldo na messi kwa idadi ya vikombe messi atashinda simply iko hivyo,..unataka kuniambia hukumbuki kashfa ya matokeo ya upigaji kura mwaka juzi FIFA walichakachua,amakocha na makapten wakalalamika kuwa kwenye mtandao wa FIFA wanaonekana wamepiga kura kwa mtu ambaye hakuwa chaguo lao la kwanza wala la pili,au umesahau kauli ya blatter juu ya watu hawa wawili,kwa nini usiseme kuwa nao wana wivu na ronaldo???messi ana miaka michache kuliko ronaldo,angalia sasa timu ya taifa ana wachezaji wazuri ndipo anapofanya vizuri kwenye club anajikongoja wakat mwenzie ni moto ule ule wakati wowote..

Nadhani hujaelewa nilichoandika
 
msimu huu ronaldo yupo vizuri anaweza kuchukua tena tuzo ya dunia
 
Back
Top Bottom