QUOTE
Ndio maana nasema Ronaldo anaweza UK tu, subiri tuone kama atafurukuta euro 2008 mwezi ujao tu!!
I could go on and on, ila kama we kweli unajua mpira, utaelewa kwamba Ronaldo anatamba ligi ya UK tu ambapo madefender wengi ni wachovu wa butua butua.....very average hawana skill (defender usipokuwa skillfull utazuiaje mchezaji skillfull? Tofauti na Europe au world football. We umeshawahi kumwona Ronaldo anamsumbua Glichy? Ashley Cole unaweza kusema 50/50, ila madefender wengine anawasumbua). Nje ya UK Ronaldo is an average player. Yaani mara mia hata Torres yuko proven.
Halafu tafuteni mechi ya Barca vs Getafe muone mambo Messi alifanya.....Ronaldo hawezi hiyo hata siku moja.
Messi kamfanya hata Thierry Henry aonekane mbovu. Na hapo ndio utajua ukiwa Uingereza sio kwamba uta-guarantee ufanikishe Europe. Hata wakati Thenry yuko Arsenal, Europe alikuwa anachemsha.....na ameonekana average Barcelona, alikuwa average Juventus. Ndo maana nasema Messi can fit any league comfortably.
QUOTE=
MKUBWA NAONA UNABABAIKA
Unasema RONALDO anashine EPL na sio ULAYA but ndio leading SCORER wa CHAMPS LEAGUE
Unasema ENGLAND kuna mabeki wabovu kuliko SPAIN kwa sasa PREMIER iko juu kuliko la LIGA hebu angalia ,TERRY,CARVARHO,VIDIC,FERDINAND,EVRA,CLICHY,SAGNA,CARAGHER,SKIRTEL
hebu nitajie hao mabeki wakali wanaocheza LA LIGA?
Ronaldo kazifunga timu karibu zote ENGLAND isipokuwa ManCity, Chelsea kwa hiyo timu zote England ni mbovu isipokuwa Chelsea na Man City?
Pia kwenye Champs League kazifunga AC MILAN, AS ROMA,LYON je hizo timu ni vibonde
Then unasema MESSI kafanya HENRY aonekane mbovu,jamaa ana matatizo mengi yaliyomfanya achemshe
1.Family problem with his wife
2.Alikuwa majeruhi na Barca walimlazimisha kucheza mwanzo wa msimu
3.Anapangwa nafasi ambayo si yake
4.Jamaa kwa sasa ndio anawabeba Barca mwishoni mwa msimu kafunga magoli 4 kwenye last 3 games hata game ya MAN ndio alionyesha UHAI
Henry hajachemsha kafunga magoli 18 jumla na assist 10
hajafunga kwa penati wala freekicks
Kwa wachezaji wa BARCA nafikiri anaongoza au kazidiwa na ETOO kidogo
Kuhusu goli lake la dhidi ya GETAFE ni kali but sio kigezo mbona GIGGS kawahi kuwapiga chenga wachezaji karibu 6 wa ARSENAL na akafunga
Then tunawacompare hawa wachezaji sasa hivi na sio misimu iliyopita ndio maana nasema AT THE MOMENT jamaa yuko HOT
Kuhusu comparison na MARADONA wako wachezaji wengi ambao wamelinganishwa na jamaa,ni kawaida ARGENTINA kila kizazi kipya cha soka
Wanatafuta mtu wa kumlinganisha nae but hakuna aliyemfika MARADONA
Jamaa alikuwa na skills kama za MESI but alikuwa na NGUVU hadi wasiompenda wakasema anatumia dawa ki2 ambacho MESI hana .Alibeba World Cup kitu ambacho warithi wake wote hakuna aliyefikia
Wachezaji kama ORTEGA,D ALLESADRO,TEVEZ, MESI wamefananishwa nae na sasa kuna kijana anaitwa SERGIO KUN AGUERO anachezea ATLETICO MADRID ndio anafananishwa na MARADONA
Hivi wewe ulisoma hesabu darasani?
Wewe ndio hueleweki na huelewi maana ya ratio. Champions League mwaka huu Ronaldo anaweza kuwa na mengi zaidi, tunacompare yeye na Messi. Na katika CL ya mwaka huu ratio ya Messi ni nzuri zaidi. Thats what makes Messi better. Simple mathematics, tunakwenda kwa stats. Ronaldo anaweza akafunga CL final average yake ikapanda, lakini kumbuka with fewer matches, Messi is even better.
Anybody can do step-overs, ila kuchanja timu, Messi does it better, hata mechi yao na Manu, Ronaldo hakuonekana. Na kama unaangalia mechi za Primera (zaidi ya kusikia kwenye bomba na kusoma magazetii), utakubali kwamba for entertainment value Messi yuko juu, na entertainment yake more effective. The STATS SHOW IT. Yeye hana step-overs zisizotoa poor end-product na wala hajiangushi angushi ovyo. Madefender wanamwangusha!!
Analysis ya mabeki uliowataja majority ni foreign na wako timu za Arsenal, Manu (sijui umechanganya na magoli ya training?), Liverpool na Chelsea. So your point is void due to my argument above (crap defenders play against Ronaldo), plus, magoli aliyofunga PL au UK msimu huu ni kama ifuatavyo;
Wigan (3), West Ham(3), Boro(2), Arsenal (2, 1 PENALTY-LOL),Aston Villa (2), Liverpool (1-baada ya Masch kupata kadi), Bolton (2),Derby (2, 1 penalty),NewC (4),Pompey (2), Tots (2, 1 penalty),Reading (1),Sunderland (1),Everton (2, 1 penalty),Fulham (2),Blackburn (2),Brummies (1),
http://news.bbc.co.uk/sport1/hi/football/teams/m/man_utd/results/default.stm
Magoli yake dhidi ya Wigan, West Ham na NewCastle peke yake yanaonyesha jinsi timu zilivyo mbovu maana hata top scorers wao hawakufikisha magoli hayo katika timu hizo. Sasa madefender wakali wako wapi hapo?
Hiyo ya kulinganisha na Maradona ni subjective sana, hatutakubaliana. Tuiache hiyo. Wote hawajamfikia.
Tuangalie STATS....Yes Ronaldo kafunga magoli 40 na ushee.....lakini average is the same as Messi who has been injured and played less games.
Naona mmechenga swali langu. So far Messi kacheza mechi 102 senior timu ya Barcelona na ana magoli 70.
Wakati Ronaldo kafikisha mechi 100 au 102 alikuwa na kama magoli 39 tu.
Sasa basi, ukiangalia return per match ya msimu huu tu (Maana unang'ang'ania msimu huu tu), Ronaldo hajamshinda Messi kwa vyovyote vile. Ukiangalia kwa Total career goals.......Ronaldo is small time to Messi and I will keep telling you that unless you prove otherwise with Stats!!
Argument ya TH sijui unataka uidandie ya nini, kama unaangalia mechi za Barcelona basi ungejua kwamba TH kachemsha msimu huu, na sio mchezaji wa magoli 18 kama tulivyomzoea Arsenal alikuwa anafunga zaidi ya hayo!!Plus, sababu ya ubovu wa madefender wa UK, stats zake hata uangalie..........maan ngoja niache hii, jitege mwenyewe halafu nikujibu.