Messi Vs Van Dijk nani atampoteza mwenzake?

Mahaba yatakuua dogo, ss kipindi cha pili Barca walicheza eneo lipi hasa kama si kukaa tu golini kwao na kushambulia mara 2 wakapata goli ndipo mwishoni kabisa wakaamka tena baada ya kupata nguvu ya magoli?
Mkuu hebu angalia juu na ujipige kifua mara tatu kwa kusema maneno haya "HAKIKA MIMI NI MNAFIKI"
 
Mahaba yatakuua dogo, ss kipindi cha pili Barca walicheza eneo lipi hasa kama si kukaa tu golini kwao na kushambulia mara 2 wakapata goli ndipo mwishoni kabisa wakaamka tena baada ya kupata nguvu ya magoli?
Mimi sio dogo, mm ni makamu ya baba yako
 
Back
Top Bottom