Mesut Ozil to Manchester United

Mesut Ozil to Manchester United

pogba anacheza vile wameuziwa 100 Ozil tutawauzia 700
mtapewa tu kwani pesa kitu gani..........na Wenger alivyo utadhani atakataa hiyo pesa kisa nyie mashabiki.
 
Thamani ya Ozil ni mara 50 ya Pogba mnaongeza na Rashford juu
 
Henry , overmas fabry,RVP waliuzwa , ozil nani asiuzwe kama hata saini mkataba maana yake anataka kuuzwa
Waliuzwa kipindi ambacho Pogba wa sasa asingeweza kununuliwa kwa kiasi hiko cha sasa.....
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mashabiki wa arsenal wanajifariji eti man u haina uwezo wa kumnunua ozil
 
Ozil siyo mpumbavu hawezi kwenda team ndogo kama Manuu itakuwa udhalilishaji
 
Kwanza hatumtaki
Namba kumi tunao kibao
Yule mata kijiko anatutosha kabisaaaaaa
 
Katoka madrid kwenda arsenal, kwahyo arsenal ni kubwa kuliko madrid?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] relax arsenal na Madrid ni team kubwa zote sasa Manuu ambayo kwa sasa ni kama Everton ndo Ozil aende huoni ni kuliaibisha soka?


Manuu imebaki historia ndiyo inayowalinda[emoji6] [emoji6] [emoji6]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] relax arsenal na Madrid ni team kubwa zote sasa Manuu ambayo kwa sasa ni kama Everton ndo Ozil aende huoni ni kuliaibisha soka?


Manuu imebaki historia ndiyo inayowalinda[emoji6] [emoji6] [emoji6]
Historia????????? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tunachukua makombe kila kukicha we unasema historia? [emoji23] [emoji23] [emoji23] vip arsenal na Liverpool miaka nenda rudi bila kombe watakua wanabebwa na nini?
 
Back
Top Bottom