Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Kuna mkenya mmoja naskia juzi kaivaa msibani...teh๐คฃ๐น๐น๐น Watanzania tulivyo wa hovyo utashangaa hizo miwani watavaa mpaka kwenye vikao vya familia..!!
Subhanallah...๐๐น๐น๐น Watanzania tulivyo wa hovyo utashangaa hizo miwani watavaa mpaka kwenye vikao vya familia..!!
Ngoja ninunue hiyo miwani nipate kufaidi...Usiombe ikawafikia hawa secretarybird@monetary doctor,Red black hapo kwisha pisi zote za mjini
Sitanii wabongo watataka kuona wanafananaje na familia zao..!! ๐นSubhanallah...๐
Aliona mizigo hadi ya marehemu ๐นKuna mkenya mmoja naskia juzi kaivaa msibani...teh๐คฃ