Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Meta, kampuni mama ya Facebook inapanga kupunguza wafanyakazi wake huku maelfu ya wafanyakazi kuathirika na jambo hili.
Kutokana na ripoti ya hivi karibuni kutoka Meta September 30, ilikuwa na wafanyakazi wapatao 87,000 duniani kote ikijumuisha wafanyakazi kutoka Facebook, Instagram na Whatsapp.
Mapema June mwaka huu 2022 Zuckerberg aliwaonya wafanyakazi kwamba mdororo unaokuja ungesababisha kupunguzwa kwa kazi za uhandisi kwa angalau asilimia 30 katika kampuni ya mitandao ya kijamii.
CNBCTV