rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,749
- 7,038
Wameshanilamba kichwa mamaee, nlikuwa na Yowhatsapp , nimejaribu kuhamishia namba kwenye official app imegoma. Nikahamishia kwenye Whatsapp business ikakubali ila ikawa Haina uwezo wa kutuma message Wala kureply kwenye magroup. Yani unaona wenzako wanavochat ila kwako peke Ako inasoma "only admins can send message"๐ฅฒ
Nimebadili namba imekubali now natumia Whatsapp business, shit[emoji53]
Nimebadili namba imekubali now natumia Whatsapp business, shit[emoji53]