๐— ๐—˜๐—ง๐—” ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐˜‚๐—ป๐—ด๐—ถ๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ

Wameshanilamba kichwa mamaee, nlikuwa na Yowhatsapp , nimejaribu kuhamishia namba kwenye official app imegoma. Nikahamishia kwenye Whatsapp business ikakubali ila ikawa Haina uwezo wa kutuma message Wala kureply kwenye magroup. Yani unaona wenzako wanavochat ila kwako peke Ako inasoma "only admins can send message"๐Ÿฅฒ
Nimebadili namba imekubali now natumia Whatsapp business, shit[emoji53]
 
whatsap ya META bado ipo analog sana, hauwez kuview, hauwez kusev status ya mwenzio, haina lock. themes na vionjo flan flan ivi imekosa kabisa
 
Nipe namie maujanja walau nipate hio whatsap business mana wamenipiga tofali namba zote mbili
 
Nilikuwa natumia Oppo Nilidownload Officially Whatssap app lakini waliniburn nilituma Complain wakanambia Nibadilishe cm Kwa Sasa Natumia Iphone Natereza tu ila teregram mamboo ya mizagamuano Wameburn groups zote Adroid Uhuru Mwingi ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ Adroid walishanihark watu wakanadilisha Wallpaper ya cm wakaweka picha ya kutisha CHINI wakaweka Namba za Msaada wanipige ela niliifrash ikawa poa Nikachukia Adroid hadi Leo Security yake ndogo Sanaa
 
Ukiona hivyo ufahamu hizo unofficialy whatsapp zina uwezo mkubwa na wameweza kupenya firewall za META kuweza kukonekti platform zao na META.

Wanashindwa kuwafungia kwa sababu wamezidiwa.
 
Mbna nikijaribu ku download official watsap ina onyesha kma tyr natumia wakt natumia fm watsap
Kwa sababu FM wahtsapp ni whatsapp iliyobadilishwa kidogo package name inaweza kuwa ile ile so toa kwanza hiyo feki.
 
Hizo sababu za kwann hawakufungia Unofficial WhatsApp wao wenyewe, muwe mnazitoa kwa serikali ya Tz tu, huko duniani ni kila mtu atabeba mzigo wake,

Umeidownload Whatsapp ya wizi, bas unafungiwa, hatuhangaiki na wewe, options ni mbili tumia official au tumia unofficial ufungiwe,

Be responsible
 
Nilichoshangaaa wamefungia mpaka simu haziwezi kudownload official whatsapp kama ushawahi tumia whatsapp za mchongoo...!! ni move ya ovyooo sanaaaa. maana unafungia namba mpaka device ovyooooo mnoo sema ukifungiwa koma akudownload whatsapp za mchongo zingine kama gb au yo whatsapp maana official hutoboii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ