Meta yajiondoa, Over 1,100 Jobs ziko hatarini Wafanyakazi Sama Nairobi wapigwa na Shock!

Meta yajiondoa, Over 1,100 Jobs ziko hatarini Wafanyakazi Sama Nairobi wapigwa na Shock!

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
535
Reaction score
312
Wadau, hii ni noma! Kampuni ya Sama imetoa taarifa rasmi kwamba kuna mass redundancy inakuja kwa ofisi yao ya Nairobi . Sababu kubwa?

Mteja wao mkubwa Meta ameamua ku-terminate contract yao.
Kwa mujibu wa taarifa ya April 16, 2026, Sama walisema walijaribu ku-engage Meta ili kuokoa situation but wapi mambo hayakuwork.

Sasa wameanza rasmi process ya redundancy chini ya sheria ya Kenya (Section 40 ya Employment Act 2007).
The shocking part?
Zaidi ya 1,108 employees wako affected wengi wao wakifanya kazi kwa ile specific project imefungwa. Hii ni pigo kubwa sana si tu kwa wafanyakazi but pia kwa jamii ya Nairobi .

Company imesema wako “supporting employees with care and respect,” wakiongelea benefits kama medical cover, counselling na “living wages” lakini ukweli ni kwamba watu wengi sasa wanakabiliwa na uncertainty ya maisha.

VP wao alisema:
“Client programs evolve basically kusema hii ni kawaida kwa industry. Lakini kwa ground, watu wanajiuliza: hii ndio ‘evolve’ ama ni watu wanaachwa jobless tu?
Sama ni big player kwa AI na data annotation, wakifanya kazi na global tech giants. Lakini hii move inaonyesha vile jobs za outsourcing zinaweza kuwa very unstable leo uko, kesho contract imeisha.

Swali ni
Je, Kenya tunaweka mayai yetu yote kwa basket ya outsourcing jobs bila job security? Na serikali iko wapi kulinda vijana
Screenshot_20260417-154340_1.jpg
 
Back
Top Bottom