Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
CEO wa Meta Mark Zuckerberg ametangaza kusitisha mfumo wa uliopo wa kuhakiki taarifa kwenye mitandao ya Facebook, Instagram na Threads ambapo kampuni hiyo sasa itaanza kutumia mfumo wa Community Notes kama ule unaotumika X
Aidha Zuckerberg alitangaza mabadiliko makubwa katika sera za usimamizi wa maudhui (content moderation) akisema kuwa uchaguzi wa hivi karibuni nchini Marekani ulikuwa "kielelezo kikubwa cha mabadiliko"
Soma pia: Bosi wa Meta Mark Zuckerberg ameomba radhi kwa familia ambazo Watoto wao waliathiriwa na Mitandao ya Kijamii
Kampuni hiyo pia imetangaza kuwa inarekebisha sheria zake kuhusu namna ambavyo inasimamia maudhui ya kisiasa huko Facebook na Instagram ambapo itakuwa na mfumo mzuri utakaochochea maudhui ya kisiasa
"Tunarudi tulikotoka na kipaumbele chetu kitakuwa kupunguza makosa, kurahisisha sera zetu na kurejesha uhuru wa kuongea kwenye majukwaa yetu," alisema Zuckerberg katika video.
"Kwanza, tutafuta wahakiki wa taarifa za ukweli na tutaleta mfumo wa 'community notes' kama ilivyo kwa X, na mfumo huu wa Community Notes utaanzia Marekani."
Wachambuzi wengi wametaja mabadiliko haya makubwa kama ni matokeo ya uongozi mpya wa Donald Trump ambaye kwa muda mrefu sasa amekuwa akiikosoa Meta kwa upendeleo na namna ambavyo inafifisha uhuru wa kujieleza.
Ikumbukwe kuwa Donald Trump na Mark Zuckerberg walikutana November 27 mwaka 2024 na tangu kikao hicho kufanyika META imeonekana kujenga mahusiano na utawala mpya wa Rais Donald Trump atakayeingia Ikulu ya White House Januari 20, 2025.
====================================================
Meta is removing third-party fact checkers and replacing them with user-generated “community notes,” similar to X (formerly Twitter). CEO Mark Zuckerberg announced the shift will affect content moderation across Facebook, Instagram, and Threads as the company updates its approach to misinformation.
This move departs from Meta’s previous strategy, which included independent fact-checking teams and automated moderation systems. Zuckerberg noted that while fewer posts will be removed, more harmful content will slip through.The changes come amid an apparent ideological shift within Meta’s leadership, with Zuckerberg working to strengthen ties with President-elect Donald Trump.
Just a day before, Meta revealed that UFC CEO Dana White, would join its board and two other new directors. Meta also pledged $1 million to Trump’s inaugural fund and signaled Zuckerberg’s intention to take a more active role in tech policy.
Source: Wall Street Journal, BBC, NBC News