taarifa za upotoshaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania BoT wakanusha taarifa za upotoshaji kuhusu usalama wa mifumo ya malipo na akaunti za amana. Mifumo ipo salama

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha taarifa zinazosambaa mtandaoni zinazoeleza kuwa benki za biashara nchini zimepata au zinatarajiwa kupata shambulio la kimtandao litakalosababisha upotevu wa fedha za wateja na kusababisha hitilafu katika mifumo ya kibenki. Katika taarifa yake kwa umma...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Upande wa Jamhuri walalamikia taarifa za Upotoshaji kuhusu Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu

    Upande wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, umeiomba Mahakama Kuu kupima maneno na taarifa zinazoripotiwa na vyombo vya habari, wakidai baadhi yake ni za upotoshaji na zinavunja hadhi ya Mahakama. Soma > Mahakama Kuu yatupilia mbali pingamizi la...
  3. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vyama vya upinzani nchini ni waathirika wakubwa wa Taarifa za Upotoshaji, na Mtandao wa X unaongoza kwa kuzalisha Taarifa za Kupotosha

    Wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Novemba 2024, JamiiAfrica kupitia Jukwaa lake la Uthibitishaji na Uhakiki wa Taarifa la JamiiCheck iliongoza juhudi za kudhibiti upotoshaji wa taarifa kwa kutoa elimu ya uhakiki na kuwashirikisha wananchi moja kwa moja katika kuchambua na kuthibitisha...
  4. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania 'Influencers' na watu maarufu wanatajwa kuwa wasambazaji wakubwa wa taarifa za upotoshaji

    Abdallah Katunzi, mhadhiri msaidizi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Julai 9, 2025 akizungumza kwenye mkutano wa Wadau wa Sekta ya Habari kuhusu uchaguzi mkuu, amesisitiza umuhimu wa Kuthibitisha Taarifa tunazokutana nazo mtandaoni bila kujali hadhi ya mtoa Taarifa. Hii inatukumbusha kuwa hata...
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali yasema kuna watu wanafungua kurasa za mitandao ya kijamii zenye ya majina ya kuaminika na kufanya upotoshaji, yatoa onyo

    Wakuu, Serikali kila siku wanazidi kututhibitishia kuna mizigo 90% kwenye hivyo vitengo huko! Kwahiyo kwa madai yao ni watu wamefungua page zinazofanana na wao lakini sio kwamba page zao zimedukuliwa? Basi wadukuaji wafanye kweli na hizo page sizirudi tuone watasemaje sasa hivi🌚. Kwahivyo...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi wamsaka aliyesambaza taarifa za upotoshaji katika ukurasa wa Polisi X (Twitter)

    Hiki ni kituko! Ukisikia mbwa kala mbwa ndio hii sasa🤣🤣 mambo yamekuwa moto taratibu tutaelewana. Sasa wanamsaka nani wakati page yao ndio imesambaza taarifa hizo za upotoshaji?:KEKLaugh::KEKLaugh::BearLaugh: Nataarifa hii imetoka hapo hapo, sa tunajuaje kama na hii sio ya kwao? Ila majirani...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Meta yatangaza kuachia wananchi uhuru wa kuhakiki maudhui ya kwenye mitandao ya Facebook, Instagram na Threads

    CEO wa Meta Mark Zuckerberg ametangaza kusitisha mfumo wa uliopo wa kuhakiki taarifa kwenye mitandao ya Facebook, Instagram na Threads ambapo kampuni hiyo sasa itaanza kutumia mfumo wa Community Notes kama ule unaotumika X Aidha Zuckerberg alitangaza mabadiliko makubwa katika sera za usimamizi...
Back
Top Bottom