'Influencers' na watu maarufu wanatajwa kuwa wasambazaji wakubwa wa taarifa za upotoshaji

'Influencers' na watu maarufu wanatajwa kuwa wasambazaji wakubwa wa taarifa za upotoshaji

JamiiCheck

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2023
Posts
245
Reaction score
267
Abdallah Katunzi, mhadhiri msaidizi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Julai 9, 2025 akizungumza kwenye mkutano wa Wadau wa Sekta ya Habari kuhusu uchaguzi mkuu, amesisitiza umuhimu wa Kuthibitisha Taarifa tunazokutana nazo mtandaoni bila kujali hadhi ya mtoa Taarifa.

Hii inatukumbusha kuwa hata watu maarufu huweza kusambaza Taarifa Potofu, hivyo inatupasa tuwe makini kwa Kuthibitisha kabla ya kuamini au kusambaza ili kujenga jamii yenye

 
Back
Top Bottom