Cute Wife
Platinum Member
- Nov 17, 2023
- 3,054
- 8,449
Hiki ni kituko!
Ukisikia mbwa kala mbwa ndio hii sasa🤣🤣 mambo yamekuwa moto taratibu tutaelewana.
Sasa wanamsaka nani wakati page yao ndio imesambaza taarifa hizo za upotoshaji?

Nataarifa hii imetoka hapo hapo, sa tunajuaje kama na hii sio ya kwao?
Ila majirani inabidi tuongee vizuri wawa dada na kaka wa East Africa, halafu Nigeria na South Africa watakuwa mabinamu wa EA.
Wabongo nina imani tumepata somo🌚🌚
Pia soma:
www.jamiiforums.com
=====
Jeshi la Polisi linapenda kuwajulisha umma kuwa kuna taarifa za uongo, upotoshaji na zisizo na maadili zilizokuwa zikisambazwa kwenye mtandao wa kijamii wa Jeshi la Polisi (tanpol) kwa lengo la kutaka kuuaminisha umma kuwa zimetolewa na Jeshi la Polisi kupitia mtandao wake wa X.
Taarifa hizo si za kweli na ifahamike kuwa Jeshi la Polisi haliwezi kuandaa na kusambaza taarifa kama hizo katika Mitandao yake ya kijamii.
Wakati tunaendelea kufuatilia wahalifu waliotengeneza na kusambaza taarifa hizo ili wakamatwe, tunawaomba wananchi wazipuuze taarifa hizo na kuepuka kuendelea kuzisambaza endapo zitakufikia. Hatua kali zitachukuliwa kwa yeyote yule aliyehusika na utengenezaji na utoaji wa tarifa hizo na yeyote yule ambaye ataendelea kuzisambaza.
Imetolewa na:
Msemaji wa Jeshi la Polisi
Makao Makuu ya Polisi
Dodoma, Tanzania
Ukisikia mbwa kala mbwa ndio hii sasa🤣🤣 mambo yamekuwa moto taratibu tutaelewana.
Sasa wanamsaka nani wakati page yao ndio imesambaza taarifa hizo za upotoshaji?

Nataarifa hii imetoka hapo hapo, sa tunajuaje kama na hii sio ya kwao?Ila majirani inabidi tuongee vizuri wawa dada na kaka wa East Africa, halafu Nigeria na South Africa watakuwa mabinamu wa EA.
Wabongo nina imani tumepata somo🌚🌚
Pia soma:
PreGE2025 - Inasemekana ukurasa wa X (Twitter) wa Jeshi la Polisi umedukuliwa. Je, ni kutokana na tamko la jana la Rais Samia?
Wakuu! Ukurasa rasmi wa X zamani Twitter wa Jeshi la Polisi Tanzania (Tanpol) unapost taarifa ambayo wengi hawaamini kama ni za kweli, kwanza iliweka maudhui ya uchi lakini baadaye ikawekwa taarifa ya kuwa Rais Samia ametutoka. Je, account hiyo imedukuliwa au ni polisi wenyewe wameamua...
=====
TAARIFA KWA UMMA POLISI YAWASAKA WALIOSAMBAZA TAARIFA ZA UPOTOSHAJI MTANDAO X (TWITTER)