900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 9,485
- 11,556
Aibuuu wamedukuliwaWalivyo vichwa ngumu, hawajakubali kuhakiwa, ila wamesema mtu kasambaza taarifa za uongo
Aibuuu wamedukuliwaWalivyo vichwa ngumu, hawajakubali kuhakiwa, ila wamesema mtu kasambaza taarifa za uongo
Hilo nalo neno, very dangerousToo bad waliosambaza ni wakenya wenyewe. badala ya kutafuta aliesambaza, wakae chini kufikiris cybersecurity plan zao, account inakuwaje hacked kirahis hivyo
Post ya kwanza ilikuwa chudai 😊! Hivi inakuwaje taasisi nyeti kama police account yao inakuwa hacked kizembe hivo ? Hawa si wanaweza kupita hata na account ya kiongozi mkubwa ?
Kuna mdau ameweka uzi humu kwamba kwenye ishu ya IT na social media Wakenya ni level nyingine, Tayari wameshaanza kutupa za uso.Hahahaah elimu elimu elimu tuliwahi kuambiwa na mzee fulani 😛 😛
Waliweka na picha Gani?Post kwenye ukurasa wa polisi ikisema polisi wanatangaza Samia katutoka
Bila kusahau upinde na msiba. Leo kazi yao kufuta tu. Bora wawe bizehii barua wametoa kwenye account gani au ya mtu binafsi.maana ya kwao ina picha mix by ass
Tumewachoza wenyewe wakenya Acha vita ya mtandaoni iendeleeBila kusahau upinde na msiba. Leo kazi yao kufuta tu. Bora wawe bize
si yeye kaamua kushindana na wakenya ambao ruto kawashindwaWanajaribu kushindana na teknolojia, wacha tuendelee kunywa supu tukiangalia vile wanapata tabu
Walifaulu masomo gani huko shule kwani!?Hivi hawa ndugu zetu wanajua maana ya hacking?
Hiyo picha chafu inahusu Nini na nani,Ile picha chafu inatembea Tu Huko mtandaoni na huyo alihack hiyo page ya polisi hayupo hapa nchini.
Polisi nyie ni mazombi Sana, nendeni Kenya mkawakate waliotengeneza hiyo picha
Yote sahihi,ninyi,nyinyi,tana nwele,chana nywele,nyachyusa,nyakyusaNi "ninyi" na sio (nyinyi)
Kwa mujibu wa mwalimu wangu nguli wa ligha ya kiswahili fasaha