Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Natokea Mkoa wa LukwaHapo na si apo,mnatokea wapi nyinyi msiojua kuandika kiswahili!?

chaiHapo UT umemaanisha nini?
NIS ni National intelligence services (Kenya) kwamba nao wana huu mda wa kijinga?
Labda alimaanisha Versus ( Vs) Sina uhakika.Hapo UT umemaanisha nini?
NIS ni National intelligence services (Kenya) kwamba nao wana huu mda wa kijinga?
Na ndivyo ilivyoLabda alimaanisha Versus ( Vs) Sina uhakika.
Moderator wabadilishe PawNa ndivyo ilivyo
mudukuziTundu Lissu tarehe 19/05/2025 "Wanayataka Watayapata* wakamuita mropokaji
20/05/2025 " WAMEYAPATA"
Wanalialia hovyo.
Sasa hii yenyewe tutaamiji vipi kama ni ya kweli?Hiki ni kituko!
Ukisikia mbwa kala mbwa ndio hii sasa🤣🤣 mambo yamekuwa moto taratibu tutaelewana.
Sasa wanamsaka nani wakati page yao ndio imesambaza taarifa hizo za upotoshaji?Nataarifa hii imetoka hapo hapo, sa tunajuaje kama na hii sio ya kwao?
Ila majirani inabidi tuongee vizuri wawa dada na kaka wa East Africa, halafu Nigeria na South Africa watakuwa mabinamu wa EA.
Wabongo nina imani tumepata somo🌚🌚
Pia soma:![]()
PreGE2025 - Inasemekana ukurasa wa X (Twitter) wa Jeshi la Polisi umedukuliwa. Je, ni kutokana na tamko la jana la Rais Samia?
Wakuu! Ukurasa rasmi wa X zamani Twitter wa Jeshi la Polisi Tanzania (Tanpol) unapost taarifa ambayo wengi hawaamini kama ni za kweli, kwanza iliweka maudhui ya uchi lakini baadaye ikawekwa taarifa ya kuwa Rais Samia ametutoka. Je, account hiyo imedukuliwa au ni polisi wenyewe wameamua...www.jamiiforums.com
=====
TAARIFA KWA UMMA POLISI YAWASAKA WALIOSAMBAZA TAARIFA ZA UPOTOSHAJI MTANDAO X (TWITTER)
Jeshi la Polisi linapenda kuwajulisha umma kuwa kuna taarifa za uongo, upotoshaji na zisizo na maadili zilizokuwa zikisambazwa kwenye mtandao wa kijamii wa Jeshi la Polisi (tanpol) kwa lengo la kutaka kuuaminisha umma kuwa zimetolewa na Jeshi la Polisi kupitia mtandao wake wa X.
Taarifa hizo si za kweli na ifahamike kuwa Jeshi la Polisi haliwezi kuandaa na kusambaza taarifa kama hizo katika Mitandao yake ya kijamii.
Wakati tunaendelea kufuatilia wahalifu waliotengeneza na kusambaza taarifa hizo ili wakamatwe, tunawaomba wananchi wazipuuze taarifa hizo na kuepuka kuendelea kuzisambaza endapo zitakufikia. Hatua kali zitachukuliwa kwa yeyote yule aliyehusika na utengenezaji na utoaji wa tarifa hizo na yeyote yule ambaye ataendelea kuzisambaza.
Imetolewa na:
Msemaji wa Jeshi la Polisi
Makao Makuu ya Polisi
Dodoma, Tanzania
View attachment 3339663
Mmh unataka mmja wa mfano umfanye kitimotoTaarifa gani iliyosambazwa?
Digital forensic wa Tanpol ni zero.Wewe ni expert wa digital forensics!?.. unaamini umewazidi wote ndani ya jeshi la polisi kwenye digital forensics?
Umethibitisha vipi ni wakenya?
Sifa yao kuu ni kufeli kwenye chochote.Walifaulu masomo gani huko shule kwani!?
hapoo wakenya wamebeep tuHiki ni kituko!
Ukisikia mbwa kala mbwa ndio hii sasa🤣🤣 mambo yamekuwa moto taratibu tutaelewana.
Sasa wanamsaka nani wakati page yao ndio imesambaza taarifa hizo za upotoshaji?Nataarifa hii imetoka hapo hapo, sa tunajuaje kama na hii sio ya kwao?
Ila majirani inabidi tuongee vizuri wawa dada na kaka wa East Africa, halafu Nigeria na South Africa watakuwa mabinamu wa EA.
Wabongo nina imani tumepata somo🌚🌚
Pia soma:![]()
PreGE2025 - Inasemekana ukurasa wa X (Twitter) wa Jeshi la Polisi umedukuliwa. Je, ni kutokana na tamko la jana la Rais Samia?
Wakuu! Ukurasa rasmi wa X zamani Twitter wa Jeshi la Polisi Tanzania (Tanpol) unapost taarifa ambayo wengi hawaamini kama ni za kweli, kwanza iliweka maudhui ya uchi lakini baadaye ikawekwa taarifa ya kuwa Rais Samia ametutoka. Je, account hiyo imedukuliwa au ni polisi wenyewe wameamua...www.jamiiforums.com
=====
TAARIFA KWA UMMA POLISI YAWASAKA WALIOSAMBAZA TAARIFA ZA UPOTOSHAJI MTANDAO X (TWITTER)
Jeshi la Polisi linapenda kuwajulisha umma kuwa kuna taarifa za uongo, upotoshaji na zisizo na maadili zilizokuwa zikisambazwa kwenye mtandao wa kijamii wa Jeshi la Polisi (tanpol) kwa lengo la kutaka kuuaminisha umma kuwa zimetolewa na Jeshi la Polisi kupitia mtandao wake wa X.
Taarifa hizo si za kweli na ifahamike kuwa Jeshi la Polisi haliwezi kuandaa na kusambaza taarifa kama hizo katika Mitandao yake ya kijamii.
Wakati tunaendelea kufuatilia wahalifu waliotengeneza na kusambaza taarifa hizo ili wakamatwe, tunawaomba wananchi wazipuuze taarifa hizo na kuepuka kuendelea kuzisambaza endapo zitakufikia. Hatua kali zitachukuliwa kwa yeyote yule aliyehusika na utengenezaji na utoaji wa tarifa hizo na yeyote yule ambaye ataendelea kuzisambaza.
Imetolewa na:
Msemaji wa Jeshi la Polisi
Makao Makuu ya Polisi
Dodoma, Tanzania
View attachment 3339663
Dada adriz unaumia ukiwa wapi?
Ila nyie jamaa vita yenu ya Palestine na Israel inabidi siku moja mchague kiwanja (natural ground ) mpange time tuwepo mashaidi mzichape weee kavu kavu 👊👊 no weapon 🔪🔫 heshima ipatikane🤝Kuniita Dada na kunihusisha na ID nyingine ambazo hazinihusu kutasababisha madhara makubwa kwako , nakusamehe na kukupa onyo la mwisho ila kwa kosa hili ilibidi ule ban ya wiki . From now you must watch your steps Maarassmita!!!!
Ukiridia tena before ban nitakutembezea a ballistic missile.
Agizo la jana,kazi imeanza,aliyesambaza akimbilie kenymsambazaji ni jeshi la police
Ziko wapi sasa hizo taarifa?Hiki ni kituko!