Metacha Mnata ni golikipa kweli?

Metacha Mnata ni golikipa kweli?

Bodi ya ligi ilishawaambia nyie mbumbumbu msiojielewa kwamba akuna mdhamini anayezuiwa kudhamini timu na akuna Sheria Wala kanuni iliyovunjwa mpaka sasa kwa gsm kudhamini timu za ligi kuu ivyo ata Mo wenu anaruhusiwa kuweka kudhamini wake kama iyo ndio sababu ya ubora wa yanga na ubovu wa Simba, ili tuone kama huo udhamini ndio unakufanya ushinde mechi mwambieni mhindi wenu na yeye aweke udhamini wake ili muwe mnashinda kirahisi basi!
Kuwa na akili punguza mihemko wapi nilipokuambia mimi ni simba nimeleta kama mpenda soka na huu ni mtizami wangu!
 
Back
Top Bottom