Bodi ya ligi ilishawaambia nyie mbumbumbu msiojielewa kwamba akuna mdhamini anayezuiwa kudhamini timu na akuna Sheria Wala kanuni iliyovunjwa mpaka sasa kwa gsm kudhamini timu za ligi kuu ivyo ata Mo wenu anaruhusiwa kuweka kudhamini wake kama iyo ndio sababu ya ubora wa yanga na ubovu wa Simba, ili tuone kama huo udhamini ndio unakufanya ushinde mechi mwambieni mhindi wenu na yeye aweke udhamini wake ili muwe mnashinda kirahisi basi!