Metakeflin zinanitesa sana

fasi dwasi

R I P
Joined
Sep 23, 2018
Posts
105
Reaction score
108
Habari zenu wana JF

TATIZO;

Nilikuwa najihisi nina malaria, baada ya kupima nilikuwa nayo ipo ya kutosha

Nilitumia dawa zinaitwa EKEFLIN (za Kenya) but baada ya hapo asubuhi niliamka na hali mbaya zaidi

Sura imevimba na muwasho usoni, homa na uchovu wa hali ya juu, nahisi kukohoa though bado sina kikohozi, Mafua, mwili unachomachoma, midomo imekauka kupita kiasi mpaka inapasuka, homa ni ndogo na nahisi hata malaria ishapona sasa shida ni hizi side effects za dawa ninazopata

Msaada;

Mtu yoyote mwenye experience na madhara ya hizi dawa naomba ushauri nifanyaje kutibu hili tatizo coz hali ni mbaya kwa sasa sura inatisha

karibuni
 
Uko mkoa gani isije kuwa una dengue (kama uko Dar) nje ya hapo muone daktari akupe ushauri zaidi
 
Itakuwa hazikukubali hizo, nenda kituo cha afya kilicho karibu nawe kwa msaada zaidi. Mimi nikitumiaga zinanisaidia
 
Doz ikiisha usitumie tena mzee hiyo metakefin ina sulpher sijui kitu gani ambapo ikikutana na mtu mwenye alej nazo anavimba mpaka mdomo.
 
Do not take metakelfin without consulting your doctor and make sure you are telling doctor if you experience:
Seizures
Liver problems
Kidney problems
History of alcoholism
If you are pregnant
If yo don’t eat well

Common side effects of metakelfin are:
Sore throat
Blood in urine
New or worsening cough and fever
Difficult breathing
Irregular heartbeats
Vomiting
Loss of appetite
 
Unapopata malaria tena tafadhali nitafute. Ipo dawa namba one na ni bei rahisi mno. Hutajutia.
 
next time tumia dawa mseto boss wangu, ndo dawa nazozitumia since day one na hazijawahi kunileteta mushkel ukilinganisha na krolokwini, kwinini na nyenginezo.
 
Kunywa maziwa mkuu achana na dwa zenye sulpur tumia mseto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…