fasi dwasi
R I P
- Sep 23, 2018
- 105
- 108
Habari zenu wana JF
TATIZO;
Nilikuwa najihisi nina malaria, baada ya kupima nilikuwa nayo ipo ya kutosha
Nilitumia dawa zinaitwa EKEFLIN (za Kenya) but baada ya hapo asubuhi niliamka na hali mbaya zaidi
Sura imevimba na muwasho usoni, homa na uchovu wa hali ya juu, nahisi kukohoa though bado sina kikohozi, Mafua, mwili unachomachoma, midomo imekauka kupita kiasi mpaka inapasuka, homa ni ndogo na nahisi hata malaria ishapona sasa shida ni hizi side effects za dawa ninazopata
Msaada;
Mtu yoyote mwenye experience na madhara ya hizi dawa naomba ushauri nifanyaje kutibu hili tatizo coz hali ni mbaya kwa sasa sura inatisha
karibuni