IDD IBRAHIM
New Member
- May 10, 2013
- 1
- 0
Niaje wana jf? kuna tofauti gani kati ya meter na metre?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niaje wana jf? kuna tofauti gani kati ya meter na metre?
Zote zina maana moja.Niaje wana jf? kuna tofauti gani kati ya meter na metre?
Nadhani inategemea na context pia! Katika vipimo vya matumizi kwa mfano ya maji au umeme, neno "meter" linabeba maana tofauti na neno "metre" bila kujali upo amerika au uingereza.Zote zina maana moja.
halafu kuna "mitre"!Niaje wana jf? kuna tofauti gani kati ya meter na metre?
Niaje wana jf? kuna tofauti gani kati ya meter na metre?
, Big NO, metre(UK) while meter(US). Utakuwa umechanganya mkuu.Karibu sana JF...
both are English words but metre is commonly used in America while meter in UK.
, Big NO, metre(UK) while meter(US). Utakuwa umechanganya mkuu.
Yup nilichanganya...thanks anyways!!