METHALI: Enzi za shule ya msingi.

METHALI: Enzi za shule ya msingi.

Nlipokua darasa la kwanza nliulizwa "dawa ya moto?" nkajibu maji kwaajili ya zima Moto.
Nusura nimpige mwalimu yai visa kwa kunikosoa
 
Hahahahahahaaaa mwenda juu kipungu hurudi na malungu
Hakuna methali nilikua nakosa Kama bangu bangu mpaka siku nilipojua ndio ikawa mwisho kutolewa hiyo methali
Eti bangu bangu linabagua ovyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haraka haraka huokoa muda
 
Mdharau mwiba hajui faida yake
 
Ukubwa wa pua unarahisisha upumuaji
 
Mtaka vyote kwa pupa hupata vyote,huwezi tumikia mabwana wawili na mchepuko pia
 
Back
Top Bottom