The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,282 Reaction score 117,244 Apr 1, 2011 #1 Juzi nilikuwa nasoma article moja nikakutana na msemo wa kiarabu....... Al funuuni majuununi..... Maana yake kila mwendawazimu ana fani yake... Imenifanya niwe nina kiu ya kujua zaidi methali na misemo ya kiarabu.. Anaejua zaidi aweke hapa...
Juzi nilikuwa nasoma article moja nikakutana na msemo wa kiarabu....... Al funuuni majuununi..... Maana yake kila mwendawazimu ana fani yake... Imenifanya niwe nina kiu ya kujua zaidi methali na misemo ya kiarabu.. Anaejua zaidi aweke hapa...
P Prime Dynamics JF-Expert Member Joined Dec 30, 2010 Posts 551 Reaction score 249 Apr 2, 2011 #2 The Boss said: Juzi nilikuwa nasoma article moja nikakutana na msemo wa kiarabu....... Al funuuni majuununi..... Maana yake kila mwendawazimu ana fani yake... Imenifanya niwe nina kiu ya kujua zaidi methali na misemo ya kiarabu.. Anaejua zaidi aweke hapa... Click to expand... Nimeipenda sana man
The Boss said: Juzi nilikuwa nasoma article moja nikakutana na msemo wa kiarabu....... Al funuuni majuununi..... Maana yake kila mwendawazimu ana fani yake... Imenifanya niwe nina kiu ya kujua zaidi methali na misemo ya kiarabu.. Anaejua zaidi aweke hapa... Click to expand... Nimeipenda sana man
Shemzigwa JF-Expert Member Joined Jan 8, 2007 Posts 334 Reaction score 17 Apr 3, 2011 #3 Man jada WAjada=mwenye kujitahidi hupata Maafish Haajja mush mumkin Hakuna jambo lisilowezekana..Misri
Man jada WAjada=mwenye kujitahidi hupata Maafish Haajja mush mumkin Hakuna jambo lisilowezekana..Misri
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,282 Reaction score 117,244 Apr 19, 2011 Thread starter #4 yess...
Anko Sam JF-Expert Member Joined Jun 30, 2010 Posts 3,254 Reaction score 903 Apr 25, 2011 #5 The Boss said: yess... Click to expand... Hizi methali nilizisikia kwa Joti ya Original Komedi
Fatma Bawazir JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 491 Reaction score 180 Apr 25, 2011 #6 al-majinunu fununu vichaa ni aina nyingi