Methali na misemo ya kiarabu.....

Methali na misemo ya kiarabu.....

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Juzi nilikuwa nasoma article moja nikakutana

na msemo wa kiarabu.......

Al funuuni majuununi.....

Maana yake kila mwendawazimu ana fani yake...

Imenifanya niwe nina kiu ya kujua zaidi methali na misemo ya kiarabu..

Anaejua zaidi aweke hapa...
 
Nimeipenda sana man
 
Man jada WAjada=mwenye kujitahidi hupata

Maafish Haajja mush mumkin Hakuna jambo lisilowezekana..Misri
 
Back
Top Bottom