Methali nyingine bwana

Methali nyingine bwana

sir j

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
318
Reaction score
212
Mhindi akijifunza methali

Methali : Nyani haoni
Jibu: Varisa miwani

Methali: Debe tupu
Jibu: Weka dengu ama choroko

Methali: Maskini akipata
Jibu: Iko acha iba katika jumba ya watu

Methali: Simba ikizidiwa
Jibu: Iko kaa chini pumzika

Methali: Penye kuku wengi
Jibu: Chinja bili tatu

Methali:
Asie sikia la mkuu
Jibu: Peleka Takukuru

Methali: Penye wengi
Jibu: Iko kutano ya CCM
 
ha ha ha et peleka takukuru..!! duh
 
Jipu usilolijua , halitumbuliki

Hii methali ya wasukuma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mhindi akijifunza methali

Methali : Nyani haoni
Jibu: Varisa miwani

Methali: Debe tupu
Jibu: Weka dengu ama choroko

Methali: Maskini akipata
Jibu: Iko acha iba katika jumba ya watu

Methali: Simba ikizidiwa
Jibu: Iko kaa chini pumzika

Methali: Penye kuku wengi
Jibu: Chinja bili tatu

Methali:
Asie sikia la mkuu
Jibu: Peleka Takukuru

Methali: Penye wengi
Jibu: Iko kutano ya CCM
na wewe ndio mmoja wao kati ya wale wenye 18+
 
Back
Top Bottom