Methali ya mtegemea Cha nduguye hufa maskini sio kweli Kwa wachaga, wakinga, Wahindi, Wapemba na Waarabu ni kwa makabila mengine tu

Methali ya mtegemea Cha nduguye hufa maskini sio kweli Kwa wachaga, wakinga, Wahindi, Wapemba na Waarabu ni kwa makabila mengine tu

Shotocan

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2023
Posts
6,650
Reaction score
12,711
Kuna methali ya uongo ya ooh mtegemea cha nduguye hufa maskini

Methali ya mtegemea cha nduguye hufa maskini sio kweli Kwa wachaga,wakinga,Wahindi,wapemba na waarabu ni Kwa makabila mengine tu

Kama wandengereko, Wakwere, Wazaramo, Wamakonde, Wasambaa, Waha, Wafipa, Wapare, Wagogo na Wakojani kabila la Raisi Mama Samia nk sio hao nimetaja hao mtegemea cha nduguye hafi maskini huinuana.
 
Misemo ya kutugawa kiuchumi ili tusiweze kutengeneza Family business Empires.. Kila siku kila mtu anaanza moja.. Na badala ya kuwekeza pesa zake anaziweka kwenye mabenki ya nje.. Akifa ndio imeisha hiyo.. Hii ni misemo ya watu wachoyo wasio na vision ya mbali .
 
Misemo ya kutugawa kiuchumi ili tusiweze kutengeneza Family business Empires.. Kila siku kila mtu anaanza moja..
Uko sahihi sana tu
Ifutwe hata shuleni na kwenye vitabu na walimu waambiwe kabisa hiyo methali marufuku kufundishwa inaua ku build up family business

Una akili nyingi sana kugundua hilo
 
Si kila msemo unakusudia maana yake iwe kama usomekavyo kijuujuu.

Misemo mingine kama huu imekusudiwa kuwatia watu shime ya kufanya kila wawezalo ili wajitegemee wenyewe.

Unadhani ni watu wangapi wanafanikiwa kwa utegemezi ikilinganishwa na wale wanaoweka uvivu pembeni na kujipambania.

Misemo hii ikitafakarika vizuri imejaa madini ya hekima ya kumwongoza mtu vyema kwenye mapito yake maishani.

Wazo kuu la msemo wa mtegemea-cha-nduguye ni utegemezi. Hilo ndilo suala muhimu.

Mathalani, unaweza kubeba maana kwamba anayemtegema sana mwanadamu mwingine, hawezi kufikia malengo yake.

Ndiyo sababu tunahimizwa kuyavulia maji nguo sisi wenyewe, badala ya kumngojea fulani ndiye atufanyie wajibu wetu.
 
Mtoa mada hii methali imekutoa knockout.

Kufanya kazi kwa ndugu sio kutemea ndugu. Fikiri kwa kina
Wachaga ,Wahindi na wapemba na waarabu Wengi hutegemea ajira za ndugu zao hawategemei Serikali hutegemea ndugu zao waliotoka kimaisha wawatoe iwe kuwasomesha nk

Wachaga pia hawafanyi michezo ikifika swala la kusaidia ndugu they business ashindwe yeye tu

Ndio maana sio Rahisi kukuta wakinga ,waarabu ,wapemba au Wahindi Wengi serikalini au taasisi za umma ndugu wenye uwezo wamejipanga kusaidia ndugu kutoka kimaisha wanajua wajibu wao

Makabila mengine hopeless Kila Mtu anatakiwa afe kivyake asahau kutegemea ndugu

Waziri wa Elimu Proffessior Mkenda kitabu chochote chenye hiyo methali kiwe reprinted new edition

Kama Mheshimiwa mmoja humu alivyosema mithali hiyo unafanya tushindwe ku build family business empire

Mbona hata kampuni za Wazungu unakuta kampuni inaitwa Mercedes Benz ni family business ilianzishwa Miaka mamia yaliyopita na inadunda na Bado ni family business empire

Bakhresa na Azam yake kajaza ndugu na yeye kazeeka anajishindia msikitini swala Tano kaachia ndugu Hana ndugu yake lofa asiye na maisha

Au Toyota ilianzishwa huko na Toyota Bado Hadi Leo ni familiy business na ni empire kubwa ndugu walitegemea Cha ndugu Yao na kuziendeleza

Mzee Asas alifariki siku nyingi kampuni yake kajaza ndugu na Asas ni business empire kubwa mno ndani na nje ya nchi

Mwenyewe alishafariki wanaendesha ndugu

Hiyo methali iondolewe mashuleni Ina dis courage family business growth ana family prosperity of each member of the family
 
Mtoa mada hii methali imekutoa knockout.

Kufanya kazi kwa ndugu sio kutemea ndugu. Fikiri kwa kina
Hiyo methali ya kibaguzi kikabila Rangi nk mbona wachaga,Wahindi, waaarabu,wapemba,wakinga na wahindi hutegemea Cha ndugu Yao na hutoka kimaisha na ndio wanaongoza Kwa kufanikiwa Tanzania kuliko makabila mengine

Kwa Nini hicho kimethali kiendelee kuendekezwa? Kifutwe watoto shuleni hicho kimethali waachane nacho ila mashuleni kuanzia primary, sekondari na vyuo lianzishwe SoMo la family business ili kuamsha Ari ya watoto kupenda kuwa involved kwenye biashara za familia na ndugu ili zikue na kujenga business empire

Waziri wa Elimu anzisha haraka SoMo la Family business kwenye mitaala kuondoa fikra kuwa Elimu ya Tanzania Iko too theoretical

Sekta ya family business imesahaulika kwenye mitaala

Na ipo nchi nyingi tu na degree za family business zipo kuanzia bachelor, masters Hadi Phd
 
Kuna methali ya uongo ya ooh mtegemea cha nduguye hufa maskini

Methali ya mtegemea Cha nduguye hufa maskini sio kweli Kwa wachaga,wakinga,Wahindi,wapemba na waarabu ni Kwa makabila mengine tu

Kama wandengereko ,wakwere ,wazaramo,wanakonde,wasambaa,waha ,wafipa ,wapare ,wagogo na wakojani kabila la Raisi Mama Samia nk sio hao nimetaja hao mtegemea Cha nduguye Hafi maskini huinuana
Tafuta mali yako. Biblia imeandika:

Yer 17:5 SUV

Shirikisha
BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA.
 
Huo ujumbe ulioweka hapa hauna uhusiano na mada tunayojadili hapa..

Unapowekewa jiwe ili ukanyage na uruke maji ni tofauti na yule ambaye hajawekewa jiwe la kukanyaga.. Na usipolitumia jiwe Hilo kama umewekewa utakuwa ni mpumbavu wa mwisho..

Dunia hii inaongozwa na familia.. Mfano mzuri ni Rokerfeller family.. Wazungu na waarabu wana Business empires za kutisha ambazo hazikuanza jana wala juzi.. Na hazitokuja kufilisika..

Tofauti na sisi wametutawala mpaka akili na wameweza kutugawa.. Divide and rule.. Na sisi kwa kukosa exposure tumefata walivyotugawa na hatufikirii kitu chochote kitakachodumu kwa miaka hata 200 ijayo.. Tunachofikiria ni kila mtu awe na chake na akifa na alichoanzisha nacho kinakufa..

Fungua macho ndugu yangu.. Umepewa akili na utashi.. Maamuzi ni yako..

Kuwainua watu wako kama una nafasi wala sio dhambi.. Unakuwa unatengeneza jamii imara yenye uwezo wa kusimama na kushawishi.. Tofauti na hapo utabaki na mahela yako uliyoiba unayalalia kwenye magodoro TU na utakapokufa waliobaki wanayafuja na kurudi palepale..

THINK BIG MY FRIEND..
 
Ni wazi huelewi maana ya methali hiyo. Poor soul.
 
Usimpe Mtoto samaki, bali mfundishe jinsi ya kuvua samaki ili ajitegemee.

Elimu ni Bahari.
 
Huo ujumbe ulioweka hapa hauna uhusiano na mada tunayojadili hapa..

Unapowekewa jiwe ili ukanyage na uruke maji ni tofauti na yule ambaye hajawekewa jiwe la kukanyaga.. Na usipolitumia jiwe Hilo kama umewekewa utakuwa ni mpumbavu wa mwisho..

Dunia hii inaongozwa na familia.. Mfano mzuri ni Rokerfeller family.. Wazungu na waarabu wana Business empires za kutisha ambazo hazikuanza jana wala juzi.. Na hazitokuja kufilisika..

Tofauti na sisi wametutawala mpaka akili na wameweza kutugawa.. Divide and rule.. Na sisi kwa kukosa exposure tumefata walivyotugawa na hatufikirii kitu chochote kitakachodumu kwa miaka hata 200 ijayo.. Tunachofikiria ni kila mtu awe na chake na akifa na alichoanzisha nacho kinakufa..

Fungua macho ndugu yangu.. Umepewa akili na utashi.. Maamuzi ni yako..

Kuwainua watu wako kama una nafasi wala sio dhambi.. Unakuwa unatengeneza jamii imara yenye uwezo wa kusimama na kushawishi.. Tofauti na hapo utabaki na mahela yako uliyoiba unayalalia kwenye magodoro TU na utakapokufa waliobaki wanayafuja na kurudi palepale..

THINK BIG MY FRIEND..
Ushauri Bora kabisa

Mwenye masikio na asikie
 
Kuna methali ya uongo ya ooh mtegemea cha nduguye hufa maskini

Methali ya mtegemea cha nduguye hufa maskini sio kweli Kwa wachaga,wakinga,Wahindi,wapemba na waarabu ni Kwa makabila mengine tu

Kama wandengereko, Wakwere, Wazaramo, Wamakonde, Wasambaa, Waha, Wafipa, Wapare, Wagogo na Wakojani kabila la Raisi Mama Samia nk sio hao nimetaja hao mtegemea cha nduguye hafi maskini huinuana.
Uliowataja sio, kwamba wanabweteka, na kutegemea, cha ndugu kuendesha maisha, w anafanyia kazi, cha ndugu, wanapata ujira wao, na, wanaanzisha vya kwao,
Mangi anamchukua Dogo kutoka Moshi anamleta mjini auze duka, duka likichangamka, anamuanzishia LA, kwake, uzuri kwa, ndugu zangu wachaga, huu ni social contract, wazee wa nyumbani wanakuwa wanamjua kabisa, mtu Fulani kamchukua kijana kwenda kumpa kazi, Arabs, na, pembas, wao unazaliwa unakuta mzee anamali,huumizi kichwa, unatembelea mlemle,mpakq mahari vijana wa kipemba wanalipiwa na, wazee wao, unaoa,na, unaendelea, kukaa hapo hapo nyumbani,
Mfumo mzuri ni wazungu, nchi zao, na, mfumo imefungua fulsa kila mtu anaweza kuwa anavyotaka, swala,la furaha yako ya kimaisha, Mali, na ukwasi ni jukumu lako,tafuta Mali na furaha kadri unavyotaka na, unavyoweza mfumo inakupa nafasi,
Hawa vijana, Gibson kawago, na Fernandez ni wa bongo, wanafanya makubwa hapa duniani kwenye Mambo ya renewable enwnegy, artificial intelligence, EVs, walifika mpaka kwa, eron musk, lakini hutasikia Samia na ccm yake akiwaongelea, ataongelea machawa doto magari, mwijaku, baba levo na kengemaji wengine
 
Back
Top Bottom