Euphra
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 522
- 1,082
Yes uache kucomment upupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes uache kucomment upupu
Tafuta mali yako laa sivyo utaishi kwa msongo sana dunia hii ya kibepari. Wewe una mikono na ubongo na wao wana mikono na ubongo kwanini wakusaidie wewe!1 Timotheo 5:8
Asiyejali nduguze mbaya kuliko asiyeamini
Wachaga,wapemba,wahindi ,waarabu na wakinga hujali ndugu zao ndio maana unakuta ndugu wanainuka Kiuchumi
Billigate vipi kamuachia ndugu hio Microsoft ? Kuna biashara ndugu mwenyewe atakimbia zinahitaji akili kubwa. Elon musk siku akizeeka unadhani kuna ndugu ataweza yale mambo ? Itabidi atafutwe mtu mwenye akili kubwa popote duniani aendeleze kampuni. Huo msemo wako unafanya kazi kwenye vibiashara vya uchuuzi sio katika matumizi ya akili kubwa.Hakunaga ndugu wa kurithi ubunifu. Hao mercedes benz wamerithi hisa tu wala sio biashara yenyewe. Biashara yenyewe ya ubunifu wa magari wameajiriwa watu wenye akili kubwa kutoka Dunia nzima hakuna cha ndugu pale. Kama una akili utaenda kufanya kazi google, Tesla, Huawei nk.Wachaga ,Wahindi na wapemba na waarabu Wengi hutegemea ajira za ndugu zao hawategemei Serikali hutegemea ndugu zao waliotoka kimaisha wawatoe iwe kuwasomesha nk
Wachaga pia hawafanyi michezo ikifika swala la kusaidia ndugu they business ashindwe yeye tu
Ndio maana sio Rahisi kukuta wakinga ,waarabu ,wapemba au Wahindi Wengi serikalini au taasisi za umma ndugu wenye uwezo wamejipanga kusaidia ndugu kutoka kimaisha wanajua wajibu wao
Makabila mengine hopeless Kila Mtu anatakiwa afe kivyake asahau kutegemea ndugu
Waziri wa Elimu Proffessior Mkenda kitabu chochote chenye hiyo methali kiwe reprinted new edition
Kama Mheshimiwa mmoja humu alivyosema mithali hiyo unafanya tushindwe ku build family business empire
Mbona hata kampuni za Wazungu unakuta kampuni inaitwa Mercedes Benz ni family business ilianzishwa Miaka mamia yaliyopita na inadunda na Bado ni family business empire
Bakhresa na Azam yake kajaza ndugu na yeye kazeeka anajishindia msikitini swala Tano kaachia ndugu Hana ndugu yake lofa asiye na maisha
Au Toyota ilianzishwa huko na Toyota Bado Hadi Leo ni familiy business na ni empire kubwa ndugu walitegemea Cha ndugu Yao na kuziendeleza
Mzee Asas alifariki siku nyingi kampuni yake kajaza ndugu na Asas ni business empire kubwa mno ndani na nje ya nchi
Mwenyewe alishafariki wanaendesha ndugu
Hiyo methali iondolewe mashuleni Ina dis courage family business growth ana family prosperity of each member of the family
Kifupi huelewi kuhusu hao mabilionea Bill Gates na ElonBilligate vipi kamuachia ndugu hio Microsoft ? Kuna biashara ndugu mwenyewe atakimbia zinahitaji akili kubwa. Elon musk siku akizeeka unadhani kuna ndugu ataweza yale mambo ? Itabidi atafutwe mtu mwenye akili kubwa popote duniani aendeleze kampuni. Huo msemo wako unafanya kazi kwenye vibiashara vya uchuuzi sio katika matumizi ya akili kubwa.Hakunaga ndugu wa kurithi ubunifu. Hao mercedes benz wamerithi hisa tu wala sio biashara yenyewe. Biashara yenyewe ya ubunifu wa magari wameajiriwa watu wenye akili kubwa kutoka Dunia nzima hakuna cha ndugu pale. Kama una akili utaenda kufanya kazi google, Tesla, Huawei nk.
Wekeza kwenye akila kubwa.Wakinga ni wachuuzi tu wasikubabaishe. Tanzania bado akili kubwa haijafanya kazi.
SISI wenye akili kubwa tunafikiria jinsi gani ya kuanzisha kampuni za kutumia akili kubwa sio uchuuzi uchuuzi wa akina bakhresa. Wekeza kwenye matumizi ya akili kubwa.
Hao akina MOE mie sioni ubunifu wao wowote. Wana import tumashine na ku process ukwaju, hivyo ni vitu vidogo vidogo tu hata wewe ukiamua unaweza.
Narudia tena WATANZANIA wekezeni matumizi ya AKILI KUBWA sio masikhara, wachina walianza taratibu leo wanaitawala DUNIA akili kubwa huitawaka DUNIA achana na mawazo madogo madogo ya kuchuuza mipunga, ufuta nk. Think BIG BIG BIG !
Hakuna kitu kibaya kama kuzaliwa familia ya watu maskini huwa wana roho mbaya na hawajali kizazi Chao wana mawazo ya kimaskini kama yako utasikia ohh kwani mimi mali alinitafutia nani kwenda huko katafute zako lakini biblia kwenyeTafuta mali yako laa sivyo utaishi kwa msongo sana dunia hii ya kibepari. Wewe una mikono na ubongo na wao wana mikono na ubongo kwanini wakusaidie wewe!
Wengi wanapata mali kwa familia zilizokuwa matajiri...Unawajua wsambaa au unawasikia hao ndugu mmoja anabeba ukoo mzima wanaishi kama waarabu Tate MkuuHakuna kitu kibaya kama kuzaliwa familia ya watu maskini huwa wana roho mbaya na hawajali kizazi Chao wana mawazo ya kimaskini kama yako utasikia ohh kwani mimi mali alinitafutia nani kwenda huko katafute zako lakini biblia kwenye
Mithali 19:14 inasema Nyumba na mali mtu hupata urithi toka kwa babaye
Wachaga,wahindi,waarabu ,wapemba na wakinga watoto hupata urithi na mali toka kwa ndugu zao waliowatangulia kiumri au kimafanikio
Pole kwa wewe kuzaliwa familua ya kimaskini na kurithi roho mbaya ya kimaskini badala ya kurithi mali
Ulichambulia kwenye famikia yako ya kilofa ni kurithi roho mbaya tu badala ya mali kama iagizavyo Biblia
Naona unarudia mle mle nilimo andika. Bill na Ellon ni waanzilishi wa hayo makampuni acha kudanganya. Hisa kubwa zimetokana na AKILI KUBWA waliowekeza. Space X imeanzishwa na akili ya Elon mwenyewe hakuwekwa pale kwa sababu ya hisa kubwa. Kampuni za akina bakhresa ni za kichuuzi tu. Umeshindwa kuelewa nilicho andika. Nimeandika kumaanisha kampuni zinazohitaji ubunifu ndugu hapo hana nafasi bali ndugu wataishia kurithi hisa tu sio kupewa kazi. Nimetolea mfano wa microsoft kuwa alivyoondoka Bill katafutwa mtu mwenye akili kubwa sio ndugu. Uwe unaelewa au kama hujaelewa uliza.Kifupi huelewi kuhusu hao mabilionea Bill Gates na Elon
MUSK
Hizo kampuni zao zote ziko soko la hisa
Zina mamilioni ya wana hisa ila wao ni majority shareholders
Wanaoendesha kampuni ni board of directors iliyochaguliwa na shareholders na management ya wafanyakazi walioajiriwa sio Bill Gate wala Elon Musk
Board na management ya hizo kampuni zao huajiri best minds zenye akili nyingi kuendesha kampuni na hulipa vizuri kuanzia wafanyakazi hadi management na board ya wakurugenzi
Haziendeshwi na kichwa kimoja tu cha Bill Gates au Elon Musk
Ni.kama Dangote Kampuni ya Dangote iko soko la hisa la Nigeria
Wamiliki wa Dangote company ni wanigeria wengi mno ila Dangote ni main shareholders
Wakifa shares zao zinaenda kwa ndugu zao
Bakheresa ni darasa la pili ila anamiliki makampuni ya Azam kibao kuanzia meli,media, buashara za vyakula nk
Hajasoma hana uzoefu kwenye hizo biashara lakini kaajiri watu wazuri wenye akili nyingi uwezo mkubwa na anawalipa vizuri kuendesha kampuni zake
Hata wewe hata kama hujasomea mambo ya biashara ya ndege na huijui ukiwa na pesa waweza ajiri watu wazuri wajuao hiyo biashara vizuri ukajikuta na wewe ni kama Bill Gate au Elon Musk utajiri
Unachoongea nafikiri hujawaza vizuri warithi wa hisa hata wasipokuwa wabunifu sio kitu kikubwa wao wanarithi hisa au kampuni na mali zake sio lazima wawe wabunifu hata kwa kampuni kubwa sana za viwandaNaona unarudia mle mle nilimo andika. Bill na Ellon ni waanzilishi wa hayo makampuni acha kudanganya. Hisa kubwa zimetokana na AKILI KUBWA waliowekeza. Space X imeanzishwa na akili ya Elon mwenyewe hakuwekwa pale kwa sababu ya hisa kubwa. Kampuni za akina bakhresa ni za kichuuzi tu. Umeshindwa kuelewa nilicho andika. Nimeandika kumaanisha kampuni zinazohitaji ubunifu ndugu hapo hana nafasi bali ndugu wataishia kurithi hisa tu sio kupewa kazi. Nimetolea mfano wa microsoft kuwa alivyoondoka Bill katafutwa mtu mwenye akili kubwa sio ndugu. Uwe unaelewa au kama hujaelewa uliza.
Habari za kuwekana wekana ndugu ni vibiashara vya kichuuzi tu kama vya akina bakhresa na wakinga.
Dangote hajaajiliwa bali alianzisha hio kampuni ikakua mikononi mwake. Uwezo wake wa akili ndio unamfanya aendelee kuwa bosi pake.
Jitahidi kusoma maoni vizuri.
Haya mawazo yako ya kitegemezi ya kulilia kusaidiwa ndio ya kimaskini. Yanaonesha jinsi gani ulivyo mvivu wa kufanya kazi. Biblia inasema ASIEFANYA KAZI NA ASILE. Mtume Paulo anasema NILIPOKUWA KWENU SIKUMUELEMEA MTU, Paulo Mtume alikuwa anashona magunia na kuhubiri Injili. Sasa wewe popoma umekaa hapo unalaumu ndugu eti hawakusaidii. Wifwa changalyesu. Lwako.Hakuna kitu kibaya kama kuzaliwa familia ya watu maskini huwa wana roho mbaya na hawajali kizazi Chao wana mawazo ya kimaskini kama yako utasikia ohh kwani mimi mali alinitafutia nani kwenda huko katafute zako lakini biblia kwenye
Mithali 19:14 inasema Nyumba na mali mtu hupata urithi toka kwa babaye
Wachaga,wahindi,waarabu ,wapemba na wakinga watoto na ndugu hupata urithi na mali toka kwa wazazi au ndugu zao waliowatangulia kiumri au kimafanikio
Pole kwa wewe kuzaliwa familua ya kimaskini na kurithi roho mbaya ya kimaskini badala ya kurithi mali
Ulichambulia kwenye famikia yako ya kilofa ni kurithi roho mbaya tu badala ya mali kama iagizavyo Biblia