Methali za makabila mbali mbali

Methali za makabila mbali mbali

Ukamuona mwezio amogwa, nawe gea mazi (Ki-Bondei)

Ukimuona mwenzio ananyolewa, na wewe tia maji (lowanisha nywele)
 
Abooga echambo chimo, tibeseleka!
(Those who bath in the same pond, can not hide the secret of their bodies)
(Hakuna siri ya watu wawili)
Kabila: Kizinza.
 
Emphiempango ekukwatwa nilobho ihango.
Ndege mjanja hunaswa na tundu bovu.
Big fish are best caught with big fish-hooks.
 
Yashinga mu minzi itelaga (Kisukuma)
To stay long in water does not make Iselamagazi clean.
Kukaa sana msikitini/kanisani hakumfanyi muumini kuwa safi.
 
Last edited by a moderator:
Umwana na musimbe i liso pansi (mtoto maskini jicho chini)-wanyiramba aka mwigulu.

Ndogui mukunza, munsi nama ( Punda ngozi tu, ndani nyama)-wanyiramba aka mwigulu.
 
inyoni iguruka yishunga igiti . ndenge huruka kwa kufuata welekeo wa mti au miti. Tafusili , mtu huenda kwa nduguye alipo. KIHANGAZA (NGARA KAGERA)
 
Umwana wa mkeba yoilasa ,yoilasa kwihembe. (mtoto wa kabo akienda kuwinda bora mshale ulenge kwenye pembe)
hizi ni methali kidogo zenye roho mbaya , mtoto wa kabo asiwe mwenye mafanikio bali wako tu , ndiyo maana alenge pembe ambapo mnyama hawezi kufa badala yake ataondoka zake, KINGAZA
 
Mokuruo kacha nekyelasa mbawa – anayevuta muda mrefu(manati) hupiga hewa(kichaga cha kivunjo)
 
Poroporo mwidete- isasi
tafsiri penya penya kwenye matete - risasi
 
Alhimaro la yamshi illa bil assar-punda haaendi bila ya magongo..

Albiiru la yabla -wema hauozi.
 
Mfiri wa kiti ukeri machendeni (kichaga, rombo).
Tafsiri: Siku ya mbwa iko miguuni.
Maana: Kipato au mafanikio yanakuja kwa kujishughulisha kwa uwezo/kipawa chako.
 
She shikuti totoro shitakuyileta- Wanyiha
Tafsiri- Kinacholika hakijileti bali hutafutwa.
 
Back
Top Bottom