Abooga echambo chimo, tibeseleka!
(Those who bath in the same pond, can not hide the secret of their bodies)
(Hakuna siri ya watu wawili)
Kabila: Kizinza.
Yashinga mu minzi itelaga (Kisukuma)
To stay long in water does not make Iselamagazi clean.
Kukaa sana msikitini/kanisani hakumfanyi muumini kuwa safi.
Umwana wa mkeba yoilasa ,yoilasa kwihembe. (mtoto wa kabo akienda kuwinda bora mshale ulenge kwenye pembe)
hizi ni methali kidogo zenye roho mbaya , mtoto wa kabo asiwe mwenye mafanikio bali wako tu , ndiyo maana alenge pembe ambapo mnyama hawezi kufa badala yake ataondoka zake, KINGAZA
Mfiri wa kiti ukeri machendeni (kichaga, rombo).
Tafsiri: Siku ya mbwa iko miguuni.
Maana: Kipato au mafanikio yanakuja kwa kujishughulisha kwa uwezo/kipawa chako.