Methali zangu mpya: Mchango kwa lugha ya Kiswahili

Methali zangu mpya: Mchango kwa lugha ya Kiswahili

mwenda pole.............huchelewa kufika
jogoo wa shamba............nyama yake ngumu
 
asiyesikia la Mkuu...husikia la mdogo
muosha?......hutumia sabuni
mwamba ngoma....................mikono yake hunuka ngozi
 
Back
Top Bottom